Hii imekaaje hii? Maana ni kama Sijaelewa aisee

Hii imekaaje hii? Maana ni kama Sijaelewa aisee

To yeye

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
20,518
Reaction score
38,854
Kwenye ID kongwe tunachat vizuri kama marafiki wapatanao, kwenye ID mficho comments zangu unazikandiašŸ¤”

Au hii nimeigundua pekeyangu wakuu? Hii ni mbaya sana.Yaan ni usnitch wa hali ya juu,mmekuwa professional na usnitch eti?

Mbona wengine hatuna nongwa hata ukinijibu vibaya au hunipendi,najua na linaisha hapohapo...kama ni kukuignore au kukujibu.Sasa hii ya mgongoni kwangu hii,hapana jamani tunakoseana sana.
 
Pole sana. Hao watu ni hatari sana.
Bora adui unayemjua kuliko adui anayejidai rafiki.
20250821_150658.jpg
 
Mtume kuna muujiza huku...... Nini kimetokea?? Tatizo kinaanzia kwenye ID kwanini mtu uwe na ID mbili kwani maana hatufahamiani kwa majina au sura
 
Aahh, yaani unaumia kutokukubalika na mtu JF? Mtu hakujui humjui? Kabisa unaumia mpaka unamwanzishia uzi? Ishi maisha yako mkuu, regarding hakupunguzii kitu.
Umenikumbusha watu wanauomia nikiwalima dislike. Unajiuliza kwani dislike maana yake nini?
 
Back
Top Bottom