Hii imekaaje hii? Maana ni kama Sijaelewa aisee

Watu wanaogopana mpaka huku ambapo watu waliowahi kukutani ni wachache huku mchane mtu ukweli umuokoe au msifie apotee kama ni real lakini…uzuri huku nkishawahi kumeet na mtu mmoja tu alafu sijawahi kujuta kumjua she is real mpaka kesho respect to you mrembo
 
Safi sana,respect kwake
 
Backstabbers.

Pole, ila kuna mwamba humu amewahi kuweka uzi kuwa humu JF kuna mapepo waliojivika miili ya watu. Usiache kukemea mapepo.
 
Nilikutongoza na ID mpya ukanikatalia ndo maana huwa nakukandia sitaki shobo zako tena😂
 
Backstabbers.

Pole, ila kuna mwamba humu amewahi kuweka uzi kuwa humu JF kuna mapepo waliojivika miili ya watu. Usiache kukemea mapepo.
🤣🤣🤣 Ndiyo hii tunasema ni uchawi mkuu
 
Back
Top Bottom