🤣🤣🤣Ulivyoandika sasa😅 upo serious sana mkuuKila ID imepewa character tofauti, akiswitch tu marafiki wote wanaweza kua maadui kulingana na character ya ID husika😅😅😅...
Ila humu hata sisi wazee kuna muda tunafanya utoto ili tuendane na generation mpya ilimradi tupunguze punguze makali ya haya magonjwa ya uzeeni kama visukari na presha za hapa na pale so tuvumiliane tu mkuu😂😂
Mateso ni yale yale tu mamii😕Asante kipenzi,vp unaendeleaje?
😂😂😂😂Hamna namna.🤣🤣🤣Ulivyoandika sasa😅 upo serious sana mkuu
Kuna mtu huwa anajitukana kabisa kwa ID yake ya pili tena ni matusi ya kujiponda na kujidhalilisha. Mwanzoni unaweza kujiuliza hivi member A alimkosea nini B mbona hampendi kiasi hiki kumbe ni mtu mmoja😂😂😂😂😂.🤣🤣🤣Wewe ndiyo umekuja kuharibu sasa.ila hii ndiyo jf...no way out
🤣🤣Ni hatari sana,na haitakiwi kuichukulia serious sana, lazima uweukeKuna mtu huwa anajitukana kabisa kwa ID yake ya pili tena ni matusi ya kujiponda na kujidhalilisha. Mwanzoni unaweza kujiuliza hivi member A alimkosea nini B mbona hampendi kiasi hiki kumbe ni mtu mmoja😂😂😂😂😂.
JF ni zaidi ya tuijuavyo