ID nyingi tunazo mkuu,lakini zinafahamika....sasa mtu kabadili jina tu kageuka adui....thread zake za kitambo zinakusanuaMtume kuna muujiza huku...... Nini kimetokea?? Tatizo kinaanzia kwenye ID kwanini mtu uwe na ID mbili kwani maana hatufahamiani kwa majina au sura
Yeah,siyo Kila oni likubaliweNi kawaida tu. Sio kila mara mta fall under same interests sasa wengine huona aibu kukutaa kwenye baadhibya masuala kisa id zenu zimeshazoena.
Ila sisi wengine tunakubaliana na weww uzi huu, uzi ule tunakataana ,uzi mwingine tunaungana tena kuwakataa wengine ,uzi mwingine tunarud kitu kimoja 😂😂
NOthing personal
Aisee, nashukuru sijabajatika kwenye hilo since 2013 ID yangu ni hii hiiID nyingi tunazo mkuu,lakini zinafahamika....sasa mtu kabadili jina tu kageuka adui....thread zake za kitambo zinakusanua
Fanya namna huyo jamaa akufahamu vizuri mkuu.🤣🤣🤣Kama ni Mimi tu hunitokea,nitaona comment za wadau.Aisee,usimwamini mtu 🙌
Kawaida tu..... Hamna jipya mbona😁🤣🤣Bro! Usicheke bro! Yamenikuta aisee ☹️
🤣🤣Ndugu zako hao..au ni mtu mmoja?Duh! inasikitisha sana
From Maghayo to Ghayo TheMongo Barbarian then The Mongolian Savage finally Busu la Kenge
Kila ID imepewa character tofauti, akiswitch tu marafiki wote wanaweza kua maadui kulingana na character ya ID husika😅😅😅...Kwenye ID kongwe tunachat vizuri kama marafiki wapatanao, kwenye ID mficho comments zangu unazikandia🤔
Au hii nimeigundua pekeyangu wakuu? Hii ni mbaya sana.Yaan ni usnitch wa hali ya juu,mmekuwa professional na usnitch eti?
Mbona wengine hatuna nongwa hata ukinijibu vibaya au hunipendi,najua na linaisha hapohapo...kama ni kukuignore au kukujibu.Sasa hii ya mgongoni kwangu hii,hapana jamani tunakoseana sana.
Huyo mpige chini mapema.Yeye ndiyo anatumia ID kificho kunikandia kwenye ID yangu pendwa...