Hii imekaaje hii? Maana ni kama Sijaelewa aisee

Hii imekaaje hii? Maana ni kama Sijaelewa aisee

Humu ndani kuna unafiki wa kiwango cha NRNE 😂😂😂
Ukiwa na ID hii mnatukanana kinoma ila uki switch tuu kwenye upuuzi mwingine ni kujazana vichwa tuu😂😂
 
Kaza mwendo mom, hakuna kitu rahisi... jitahidi hata uwe na desire kiasi gani usitumbukie kwa mtu moyo hujampenda.Usithubutu! Alone is better than wrong one partner.
❤️😌🤝🏾😊😊😊😊😊😍😍😍😍😍❤️❤️❤️❤️❤️
 
Sa hivi kuna kamtindo mnazoeana na mtu,,,, pengine mnahamia pm badae namba mara WhatsApp, likubumburuka huko tena yatakuja kumwagwa hapa hadharani !

Juzi kati kuna mtu alileta tena uzi kuwa kuna mtu sijui walitongozana wakashindwana, asa kila akianzisha mada ama amekoment anakuja hapo kudislike! 😃 oya sio powa,ya chumban yaishie huko huko
 
Huo ni utoto wa hali ya juu....na nikujichafulia jina...usitegemee kuaminika na yeyote tena
 
Ulimwengu Rakadha.....Umejaa Maluja...Watu Jalili,,,Watu Kabiri,,Ni Adhimu Mnoo...!!​
Ingekuwa ni mtihani basi kazi ya ualimu ingeshanishinda mkuu,misamiati hiyo imekaza mno aise
 
Ingekuwa ni mtihani basi kazi ya ualimu ingeshanishinda mkuu,misamiati hiyo imekaza mno aise
Basi Na Hili Jambo Lako Uliloleta Humu...Ndio Mitihani Ya Walimwengu Si Kwenye Hizi Platform Tu Za Social Mediaz Hadi Kwenye Maisha Halisi....Na Huwezi Kuwa Mwalimu Wa Kila Kitu/Kila Mtu And Vice Versa ....Walimwengu Wana Misamiati Ya Kuishi Pia....Na Kamwe Huwezi Ijua Au Ing'amua Yote Na Ndio Maana Ya Kuishi......
Love The Life You Live,,
Live The Life You Love,,.....
 
Huo ni utoto wa hali ya juu....na nikujichafulia jina...usitegemee kuaminika na yeyote tena
Ni hatari sana aisee ,,,,, watu wananyegezana huko pm wanahamia WhatsApp badae wakishindwana mmoja anakuja kumuharibia hapa !
 
Basi Na Hili Jambo Lako Ulileta Humu...Ndio Mitihani Ya Walimwengu Si Kwenye Hizi Platform Tu Za Social Mediaz Hadi Kwenye Maisha Halisi....Na Huwezi Kuwa Mwalimu Wa Kila Kitu/Kila Mtu And Vice Versa ....Walimwengu Wana Misamiati Ya Kuishi Pia....Na Kamwe Huwezi Ijua Au Ing'amua Yote Na Ndio Maana Ya Kuishi......
Love The Life You Live,,
Live The Life You Love,,.....
Indeed👊 Daah!🙏🙏
 
Back
Top Bottom