Hii imekaaje hii? Maana ni kama Sijaelewa aisee

Hivi motive behind multiple IDs ni nini, mbona ni kama watu wanajipa kazi sehemu isiyo na mshahara?
Honestly…. People are sick.

Hii tayari ni fake ID, bado kuna fake ya fake yake??? Mi nitakuwa wa mwisho kuelewa hili suala.

Unless kuna wale wanaokula ban kila siku, ni sawa kuwa na ID mbili ikiwa anaona hawezi subiri kifungo kiishe .
 
🤣🤣🤣 Fake ya Fake yake.

Kuna muda unacheka tu, kisha Tunaachana nayo tu, Unasema kama tiv Yanini mie.
Mfano kama Kuna lile jinga IB Lina avator ya Elon Lina I'd kama tano likianza kujipa vyeo na subordinates wake eti ndio kama wanaliunga mkono Rais wa singo nini sijui. Mavi matupu.
 
Fake ya fake yake Dada 😂

Ila hii ya tu yeye ni mpya, kwenye ID moja ni marafiki, ID nyingine maadui. Kwanini tusiwe maadui au marafiki moja kwa moja?

Wazimu!
 
🤣🤣🤣 Ndiyo tunaanzia hapo hapo,ilipigwa ban To yeye nikaanzisha Beesmom ...you see!?
 
Fake ya fake yake Dada 😂

Ila hii ya tu yeye ni mpya, kwenye ID moja ni marafiki, ID nyingine maadui. Kwanini tusiwe maadui au marafiki moja kwa moja?

Wazimu!
Eeh bhana,nasnitchiwa live😓
 
Fake ya fake yake Dada 😂

Ila hii ya tu yeye ni mpya, kwenye ID moja ni marafiki, ID nyingine maadui. Kwanini tusiwe maadui au marafiki moja kwa moja?

Wazimu!
🤣🤣🤣🤣🤣 Yani Huwa ni ucheshi. Unajiuliza anaogopa kitu Gani kuwa black au white. Mpaka atafute Comouflage mbili au zaidi. Kama tunabebana tubebana tu .
 
Honestly…. People are sick.

Hii tayari ni fake ID, bado kuna fake ya fake yake??? Mi nitakuwa wa mwisho kuelewa hili suala.

Unless kuna wale wanaokula ban kila siku, ni sawa kuwa na ID mbili ikiwa anaona hawezi subiri kifungo kiishe .
Mambo ya kusikitisha sana haya. Fake juu ya fake, au kuna kitu wenzetu wanapata sisi hatujui mkuu😅😅
 
🤣🤣🤣 Fake ya Fake yake.

Kuna muda unacheka tu, kisha Tunaachana nayo tu, Unasema kama tiv Yanini mie.
Mfano kama Kuna lile jinga IB Lina avator ya Elon Lina I'd kama tano likianza kujipa vyeo na subordinates wake eti ndio kama wanaliunga mkono Rais wa singo nini sijui. Mavi matupu.
Naomba nimuite😅😅😅🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom