Hii imekaaje hii? Maana ni kama Sijaelewa aisee

Hii imekaaje hii? Maana ni kama Sijaelewa aisee

Maisha yako yanakuwa sio yako Tena Kama utaendelea kuumizwa na mikazo unayolimwa na walimwengu
Lord protect me from my friends, I will take care of my enemies
 
Kwenye ID kongwe tunachat vizuri kama marafiki wapatanao, kwenye ID mficho comments zangu unazikandia🤔

Au hii nimeigundua pekeyangu wakuu? Hii ni mbaya sana.Yaan ni usnitch wa hali ya juu,mmekuwa professional na usnitch eti?

Mbona wengine hatuna nongwa hata ukinijibu vibaya au hunipendi,najua na linaisha hapohapo...kama ni kukuignore au kukujibu.Sasa hii ya mgongoni kwangu hii,hapana jamani tunakoseana sana.
Una msambwanda wa kwenda , nikupe deal la kukutenganisha na huyo mnuka maziwa ?
 
Swali anapojibu vizuri na vibaya content inakuwa sawa ?; Huenda ni kama mimi siangalii ID naangalia content na ninaamini kuwa.... "Even a broken Clock is Right twice a Day).....

Iwapo wengi wetu tungekuwa kama mimi basi tungejibishana kwa nguvu za hoja, na mijadala ingekuwa bora zaidi...

Just because you are my buddy does not mean your content should be....
Eti kwa kuwa wote ni Tundu Lissu basi ukiandika shudu nisikupe dislike. Heeee
 
Back
Top Bottom