Hii imekaaje hii? Maana ni kama Sijaelewa aisee

Hii imekaaje hii? Maana ni kama Sijaelewa aisee

Kwenye ID kongwe tunachat vizuri kama marafiki wapatanao, kwenye ID mficho comments zangu unazikandia🤔

Au hii nimeigundua pekeyangu wakuu? Hii ni mbaya sana.Yaan ni usnitch wa hali ya juu,mmekuwa professional na usnitch eti?

Mbona wengine hatuna nongwa hata ukinijibu vibaya au hunipendi,najua na linaisha hapohapo...kama ni kukuignore au kukujibu.Sasa hii ya mgongoni kwangu hii,hapana jamani tunakoseana sana.
Ugweh..!! Embu acha taarabu, fanya HIPOHOP, taja ID kongwe na hiyo ID mficho ya huyo mwenye uprofessional kwenye usnitch..!!
 
🤣🤣🤣 Fake ya Fake yake.

Kuna muda unacheka tu, kisha Tunaachana nayo tu, Unasema kama tiv Yanini mie.
Mfano kama Kuna lile jinga IB Lina avator ya Elon Lina I'd kama tano likianza kujipa vyeo na subordinates wake eti ndio kama wanaliunga mkono Rais wa singo nini sijui. Mavi matupu.
Kumbe heee !!!!
 
Pole sana mkuu na kila la kheri.


Huku mtandaoni tunafahamiana kwa id, we nenda na flow ya id, hizo id zingine ni sidework
 
Back
Top Bottom