Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
- Thread starter
-
- #41
Usilolijua ni sawa na usiku mnene,narudia Wajinga kama Wewe hamtaisha duniani,angalia wenzio wanachocomment na huo uharo wako!Mjinga ni wewe ulieshindwa kwenda kuzuia mkeo asilambwe makofi ukaja kutoa taarifa Jf.
Pole Sana kwa maumivu Kamanda.Usilolijua ni sawa na usiku mnene,narudia Wajinga kama Wewe hamtaisha duniani,angalia wenzio wanachocomment na huo uharo wako!
Punguza ujuaji na Upumbavu,Mimi ni babaa Yako kamuulize Bibi Yako!Pole Sana kwa maumivu Kamanda.
Kweli mkuu!Hakuna mtu anatakiwa kuadhibiwa kwa kosa la mtu mwingine..!!! Labda mbwa wako akikosea utaadhibiwa wewe.
Bado unaumia kamanda. ?Punguza ujuaji na Upumbavu,Mimi ni babaa Yako kamuulize Bibi Yako!
Rafiki wa baba Yako ni baba Yako au hujui Hilo!Bado unaumia kamanda. ?
Mbona una hasira Kama swila ?
Baba nilishazika kitambo au kaacha Mzimu bila kutuambia ?
MTu asiyejua jawabu huwa HASITI, jawabu lake huwa bayana kuwa hajui. Labda kama huelewi maana ya kitenzi 'kusita'.Anasita kwa kuwa si jukumu lake kufuatilia muda wote mienendo ya mumewe.
Watupande mara ngapi ?Hii nchi kama vile polisi wanataka kutupanda vichwani sasa
Alisema hajui Akala Kofi!MTu asiyejua jawabu huwa HASITI, jawabu lake huwa bayana kuwa hajui. Labda kama huelewi maana ya kitenzi 'kusita'.
Sio chongo mkuu,limefafanuliwa vizuri sana, Wewe tuu!Kosa la mume halimuhusu Mke, tatizo Kwa hapa jamvini mada inaweza kuletwa ikiwa na jicho chongo
Ubabe usio na tija!Hawa police Kuna siku wataanza kuokotwa majalalani daily...wapunguze ubabe wao huo
Hilo ni kosa kubwa sana, Ila kwa sababu ccm Na polisi waliishawaona watanzania ni mafara wasiozijua haki zao ndio maana akafanya hivyo..Habari wanajamii,imetokea Leo polisi,wakiwa kwenye gari Binafsi,wamekuja kwa jamaa bila balozi wa mtaa na kugonga geti na kumkuta mke awaonyeshe alipo mumewe .Cha kushangaza mwanamke akawa kama anasita kueleza alipo mumewe, Askari wa kike akatoka kwenye gari na kumnasa makofi huyo mke wa jamaa!Na kumtishia kumpeleka kituoni,Ni hapa Kisasa_Dodoma.
Mkuu hii kingereza ulichokitumia hapa ni asilimia 0.00% ya polisi wa Tanzania wanaweza kutengeneza sentensi moja ya maneno ya kingerezain 2050, our grand kids will come to realise we were so barbaric and irresponsible to allow this to ever happen to our beautiful country.
Ni bahati mbaya sana, sasa kama wana uwezo hapo ni kosa kisheria na atafute wakili huyo polisi afunguliwe kesi ya kushambulia na kudhuru mwili...
Mke anahusikaje na uhuni wa mumewe... kaz ya polisi ni kumtafuta huyo mtuhumiwa.
Pengine labda waseme alimficha, lakini kupiga mke kwamba hataji mumewe yupo wap, ni kosa.
Lakini zaidi ni recruitment ya Polis wetu au zaid na training, kwani kumhoji mtu na kujua ukweli inahitaji nguvu kweli kwene dunia yasasa? Kweli?
Like, my name is xxx,
we are Police officers from xxx
Your spouse/Husband is accused of xxx,
we would like to have him for such accusations and we dont intend anything bad against him,
We tried to reach him but we couldn''t, and now we want your cooperation to ensure he submit himself to clear this matter asap..
It can be settled and we believe upon mutual agreement this can be resolved...
Kama ana mtoto anambeba kabisa...
Hivyo tu yani.
Sasa ubabe, hasira, nguvu.... maneno makali, vibao, nuksi... wapi na wapi? Mwisho wa siku mtu afe tuanze mapya... guys.... is this tough TO LEARN?
Haijalishi, hilo ni kosa anapaswa kuwajibishwa.Kipi kilikuwa kinamfanya asite?
Je, mumewe anatuhumiwa kwa kosa gani?