Hii imekaaje, kosa la mume polisi kumpiga mke ili aonyeshe mumewe alipo?

Kisheria ni kosa, sema kwa kua sisi ni banana Republic ndo hivyo tena!
Kumficha mtuhumiwa au muhalifu ni kosa kisheria, Raia yoyote yule anatakiwa atowe ushirikiano kwa vyombo vyetu vya kisheria, hata police wapo kisheria, bora kapewa kofi as worning kuliko angefunguliwa kesi ya kuficha muhalifu, na kuficha muhalifu inaonekana na wwe unafaidika na uhalifu huo!!
 
Sio kweli.
 
Nitajuaje kuwa wewe ni mhalifu kabla ya kuambiwa wewe ni mhalifu! Yaani nikiulizwa na askari wewe uko wapi basi nijue wewe ni mhalifu! Haiwezekani.
 
Nduli
 
Haiwezekani kumfungulia mashtaka yeye kama yeye si jeshi la polisi? Naona kama Wakianza kupata usumbufu wa kwenda kwenye kesi watapunguza kichaa.
 
yani polisi wetu hawana uelewa wowote wa sheria kwa sababu wengi ni failure na wamefika hapo kwa sababu mjomba baba mdogo au baba naye ni askari.
 
Hayo Yako!
 
We umejuaje kama hao ni polisi?
 
Polisi alikuwa sahihi.
Kujaribu kuuficha ukweli wakati unajua kila kitu ni kosa.
Yaani unajaribu kuzuia upelelezi.
Naamini baada ya kumshikisha adabu mke ,mumewe alipatikana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…