Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
- Thread starter
-
- #81
Kwako ndio kushikisha Adabu!Polisi alikuwa sahihi.
Kujaribu kuuficha ukweli wakati unajua kila kitu ni kosa.
Yaani unajaribu kuzuia upelelezi.
Naamini baada ya kumshikisha adabu mke ,mumewe alipatikana!
Sina.Tuliwahoji wakatoa vitambulisho,hapo je una Swali?
Inaweza kuwa Kweli!Kwa bahati mbaya huondio ukweli. Geshi limejaa 85% ya wajinga, wavuta bangi, wahuni.
Sawa toa maoni Yako!Sina.
Yes !Kwako ndio kushikisha Adabu!
Kwanini kupigwa makofi ni bora kuliko kufuata sheria inavyotaka? Hiyo sheria ina kazi gani sasa iwapo kuna mbadala wenye ubora? Tuifute tu tuweke hii unayosema ni bora watu wakihisiwa wanaficha mhalifu badala ya kumpeleka kituoni kumhoji wazibuliwe makofi.Kumficha mtuhumiwa au muhalifu ni kosa kisheria, Raia yoyote yule anatakiwa atowe ushirikiano kwa vyombo vyetu vya kisheria, hata police wapo kisheria, bora kapewa kofi as worning kuliko angefunguliwa kesi ya kuficha muhalifu, na kuficha muhalifu inaonekana na wwe unafaidika na uhalifu huo!!
Wewe nawe ni zero brain!Yes !
Afya ya Akili ni Janga,wanaangalia upande Mmoja!,Yeye akifyatuliwa Kofi anajisikiaje sijui!Kwanini kupigwa makofi ni bora kuliko kufuata sheria inavyotaka? Hiyo sheria ina kazi gani sasa iwapo kuna mbadala wenye ubora? Tuifute tu tuweke hii unayosema ni bora watu wakihisiwa wanaficha mhalifu badala ya kumpeleka kituoni kumhoji wazibuliwe makofi.
Mume ana kosa gani?
KabisaSi jukumu la mke kuonesha mumewe alipo, kuwa mkewe haina maana kuwa anatakiwa amchunge mumewe.
Huyo mke aende kituo cha polisi aonane na kuu wa kituo akalalamike na ikiwezekana afungue jarada la shauri dhidi ya yule askari.
Yawezekana ni kutokuwa na weledi wa kazi yao kitu ambacho kinapelekea wafanye hyo kazi kwa utashi wao badala ya kufata miongozo inayotambulika kisheri au ni kiburi walichojengewa na watawala.Sawa toa maoni Yako!
Hata kama Huyo mama angekuwa mtuhumiwa hapaswi kupigiwa Wala kutwezwa utu wake.Habari wanajamii,imetokea Leo polisi,wakiwa kwenye gari Binafsi,wamekuja kwa jamaa bila balozi wa mtaa na kugonga geti na kumkuta mke awaonyeshe alipo mumewe .Cha kushangaza mwanamke akawa kama anasita kueleza alipo mumewe, Askari wa kike akatoka kwenye gari na kumnasa makofi huyo mke wa jamaa!Na kumtishia kumpeleka kituoni,Ni hapa Kisasa_Dodoma.
Polisi hawajavaa sare...! Wakimkuta anaweza asirudi mazimaKabisa
Wanatafuta uadui usiokuwa na ulazima,ndio maana wakistaafu wanaishia kuishi kwa shida uraiani!Hata kama Huyo mama angekuwa mtuhumiwa hapaswi kupigiwa Wala kutwezwa utu wake.
Si jukumu lake kutoa taarifa kwa polisi hao bila kuambiwa mumewe anatuhumiwa kwa kosa Gani, RB namba yake, lakini pia polisi wangeweza TU kutoa notice afike kituoni na si ajabu mtuhumiwa angeenda yaani Kuna wakati polisi wanatumia nguvu pasipo na sababu yeyote
Aisee uko vizuri mkuu, ahsante.Yawezekana ni kutokuwa na weledi wa kazi yao kitu ambacho kinapelekea wafanye hyo kazi kwa utashi wao badala ya kufata miongozo inayotambulika kisheri au ni kiburi walichojengewa na watawala.
Maana uwe na pesa za kumpata huyo mwanasheria. This is a 'Police State'.Huyo mama afungue jalada. Ila ahakikishe anaenda na mwanasheria. Vinginevyo anaweza akageuziwa akaanza kutetemeka.
Daah...! Mtu unaonewa bila sababu na unakuwa huna cha kufanya. Haya mambo yanatokea kwa nchi hii tu. Mnigeria wamefindishwa sheria wale watu. Tena sio waoga kama sisi. Tumekuwa kama ndezi ndani ya mabandaMaana uwe na pesa za kumpata huyo mwanasheria. This is a 'Police State'.
Tii sheria bila shuruti!!!Sio kweli.
Kwa upeo huu bila shaka ww ni mwanaccmKipi kilikuwa kinamfanya asite?
Je, mumewe anatuhumiwa kwa kosa gani?
Ulikuwepo mwanzo mwisho wa tukio au unakisia yaliyoendelea!!?Nitajuaje kuwa wewe ni mhalifu kabla ya kuambiwa wewe ni mhalifu! Yaani nikiulizwa na askari wewe uko wapi basi nijue wewe ni mhalifu! Haiwezekani.