Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini

This woman is brutal, cruel, sadist barbaric in nature! Think she was married at 18, and she is among poligamany marriage can she care for these tortured Upendo Kileo? No. She cares for only one thing!

Power
 


Kutupwa na kurudi mzima huoni ni Polisi wema kabisa, hivi mnawajua Polisi wa nchi zingine au mnatania, Polisi wetu waungwana sana sanaa.
 
Una ushahidi hakikika au unasikiliza upande mmoja? Tu wa CHADEMA?
Mjinga wewe. Ushahidi gani unaulizq hapa? Kama hata ulioneshwa kura zilizoingizwa kwenye masandarusi baada ya kupigwa siku mbili kabla na wewe unasema TUME YA UCHAGUZI NI HURU. hata ukipewa uchaguzi toka mbinguni utaukataa kwasababu ya UJINGA WAKO WA KIHALAIKI
 
Pamoja na uzalendo wangu this is one of the issues ambazo nasikia aibu kujulikana kuwa ni Mtanzania hasa nikiwa na watu wa mataifa yaliyostaarabika.
 
Mtu anaachia mbwa wamle binadamu afu anafurahia aiseee,🤔
Unadhani anafurahiia wala hawafurahii lakini yeye POLISI asipo fanya vile aanafanyiwa yeye vile.Watu ,, wazidi kupambana kuiondoa serikali ya wadhalimu.
 
Ukatili kwa sasa ni ibada kwa Chama dola,usishangae sana sio ajabu wamekutana na kupongezana kwa ukatili huo.
 
Ukatili kwa sasa ni ibada kwa Chama dola,usishangae sana sio ajabu wamekutana na kupongezana kwa ukatili huo.
Samia hajastuka wala kusikitika!
Huyu ni mwanamke mtoa roho za watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…