Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

Ishara kubwa ya kujitoa rasmi kumtumikia Mungu mazima,Kuna jambo kubwa Sana linaendelea apo
Kwa mfano, katika kitabu cha Mwanzo 17:2-3, Abramu anaanguka kifudifudi baada ya kuambiwa na Mungu kwamba ataweka agano kati yake na Mungu.
Kumbe agano la kale mnazingatia baadhi ya vitu tu, ila mkiambiwa kuitunza Sabato aah
 
Kwa asiye na bando la mawazo aiangalie hii video,hata masista huwa wanafanya hicho kitendo,nadhani vizuri kila mmoja azingatie alichofundishwa kwenye imani yake hatuwezi tukafanana na haitakaa tufanane binadamu tunachofanana kwa uhakika ni kule kuvuta pumzi na pumzi kuisha tukafa but mengine yote tutatofautiana milele.View attachment 3047876
Kunawengine wana vishundu hapo
 
Back
Top Bottom