Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
ACHENI UNYANG'ANYI.Mlikatazwa na nani msiende nyumbani kwa shemeji yenu shughuli ya mazishi ilipoisha?Na kwenye misa ya mazishi walichukua fedha zako kwa nguvu kutoka kwenye bukta?Acha ubabaishaji na chuki zako peleka machinjio ya paka huko.
Wanakula maisha hapa
Kumbe agano la kale mnazingatia baadhi ya vitu tu, ila mkiambiwa kuitunza Sabato aahIshara kubwa ya kujitoa rasmi kumtumikia Mungu mazima,Kuna jambo kubwa Sana linaendelea apo
Kwa mfano, katika kitabu cha Mwanzo 17:2-3, Abramu anaanguka kifudifudi baada ya kuambiwa na Mungu kwamba ataweka agano kati yake na Mungu.
Yesu kristo ndio Sabato.Kumbe agano la kale mnazingatia baadhi ya vitu tu, ila mkiambiwa kuitunza Sabato aah
Soma surat Mariam chapter 19 verse 71 mpaka 72.Ukristo na uislam wapi na wapi? Mungu wa waislamu ukimpima kwa mizania ya Biblia unamuona ni nani?
The headless creature!ACHENI UNYANG'ANYI.
NINYI MNAO WANYANG'ANYA WAHITAJI HATA KILE KIDOGO WALICHOSAIDIWA NDIO VICHWA VITUPU.The headless creature!
Wewe ni linafiki la kujitegemea.Uliitwa?Kiheremswede chako.NINYI MNAO WANYANG'ANYA WAHITAJI HATA KILE KIDOGO WALICHOSAIDIWA NDIO VICHWA VITUPU.
Kunawengine wana vishundu hapoKwa asiye na bando la mawazo aiangalie hii video,hata masista huwa wanafanya hicho kitendo,nadhani vizuri kila mmoja azingatie alichofundishwa kwenye imani yake hatuwezi tukafanana na haitakaa tufanane binadamu tunachofanana kwa uhakika ni kule kuvuta pumzi na pumzi kuisha tukafa but mengine yote tutatofautiana milele.View attachment 3047876
UKIGEUZA UMATI WA MWENZAKO KUWA KIPATO KWAKO MUNGU WENU HUYO HAYUKO NDANI YAKO.Wewe ni linafiki la kujitegemea.Uliitwa?Kiheremswede chako.