Hii ina maana gani ni positive au negative?

Hata kama nimezeeka na macho yangu hayaoni sawasawa ila majibu kwa hicho kipimo yanaonesha Positive.

Kwahiyo kama ni huyo mwenzio au ni wewe uliyepima, kuna haja uwahi Kituo cha afya kilicho jirani nawe kwaajili ya kuanza dozi mapema.

Kumbuka, Kupata Vizuri vya Ukimwi siyo mwisho wa maisha.

Muhimu uzingatie matumizi sahihi ya hiyo dozi, lishe bora, mazoezi lakini pia upunguze kushiriki ngono mara kwa mara.
 
tuache tu tucheke kwakweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
pressure inapanda na kushuka.. kama alianza kumla mate na kuzama chumvini ndio ikaja akili ya kupima.. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….. akapiga mswaki siku nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…