Hii inamaanisha nini, BUNDI kukaa nje ya Nyumba zaidi ya Mwezi kila Usiku na haondoki?

Hawaondoki hawa nimefukuza wanarudi tena hapa hapa wamefanya km kwao
Kuna ulaji hapo Ndio maana wapo
Siku ukiwauwa ndio utakuta majoka na panya kila sehemu

Waache ni walinzi wazuri pia wanapenda sehemu tulivu.
Ndio maana wanakaa hata makaburini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…