ila kwa maelezo uliyotoa sidhan kama kuna ubaya hapo.Hawa hua hawalii wanakaa tu, saa 2 nimeona tayari wamefika wapo nje hapo muda huu kwenye mti wao wanaangalia angalia
sio utani, fanya hvo afu urete mrejesho mkuu.Acha utani nani kakuelekeza hivyo?
Vidonge vya ng'ombe vinaitwaje vinavyotibu Gonorrhea kwa binadamu?sio utani, fanya hvo afu urete mrejesho mkuu.
We unadhan nani alielekeza kuwa vidonge vya binadam indosini vinauwa panya na vidonge vya ng'ombe kutibu gono kwa binadam?
Watu watafiti acha
wanauwezo wa kuota yajayoLakini pia niliwahi kusikia kuwa binadamu huwa hafi siku Moja
Kuna process zinatokea kabla ya kifo chake
Hivyo basi Kuna viumbe wamejaaliwa kuhisi hyo hali kabla haijatokea
Na ndio maana unaweza kuwa sehemu fulan ukaanza kushangaa viumbe fulani wanakuja mara kwa mara mfano hao bundi ,Tai nk
N kwamba hao wanahisi mzoga kwahy wanajisogeza pale kwa ajiri ya kupata kitoweo
Muda huu yupo yupo tu anazungusha shingo yake hapo nikimtazama dirishani na yeye ananitazama,ila kwa maelezo uliyotoa sidhan kama kuna ubaya hapo.
NI SALAMA
Nani hao wanaoota yajayo?wanauwezo wa kuota yajayo
ni antibiotic kama za binadam ila bonge la kidonge jina nimesahau unalivunja nusu yake.Vidonge vya ng'ombe vinaitwaje vinavyotibu Gonorrhea kwa binadamu?
Hii nimeielewa maana yake mkuu Babylon CityIsaya 13:21
Tangu lini dawa za mifugo zikawa za binadamu?ni antibiotic kama za binadam ila bonge la kidonge jina nimesahau unalivunja nusu yake.
hahahaha mkuu humwogopi?Muda huu yupo yupo tu anazungusha shingo yake hapo nikimtazama dirishani na yeye ananitazama,
kuna wanyama kama fisi na ndege tai na bundi n.kNani hao wanaoota yajayo?
Wewe ulisikia wapi?kuna wanyama kama fisi na ndege tai na bundi n.k
Wanauwezo wa kuota yajayo hata kama yatatokea mbal, na atafatilia sehem alipo ota
zina shabiana baadhi nadhan maana na binadam ni mnyama pia.Tangu lini dawa za mifugo zikawa za binadamu?
inajurikana hvo hata ubongo wa hao viumbe, ukichanjiwa mwilin utakua na uwezo wa kuota yajayo au mipango ya adui zako au safar itakua nzur au mbaya.Wewe ulisikia wapi?