kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
Hongera kwa utajili
Chimbo kalipenda target panya
Chimbo kalipenda target panya
Hawa hua hawalii wanakaa tu, saa 2 nimeona tayari wamefika wapo nje hapo muda huu kwenye mti wao wanaangalia angaliaBinafisi mim nikikutanisha macho na bundi mwili wote husisimka kwa barid kari na nywere hunisimama, macho yake makari baraa.
Ila bundi kama atakuja usku au ahsubh nakuanza kulia, hutoa taarifa mbaya inakuja.
Kuna bundi huwa anakuja jiran nilipo kuna mti mkubwa na kuanza kulia.
Hazipit siku
Nyingi mtaa wetu unatokea msiba.
Hadi nimesha mnotice nikimsikia tu analia najua tiar kumekucha.
Nimekuelewa mkuuHongera kwa utajili
Chimbo kalipenda target panya
Acha utani nani kakuelekeza hivyo?Ukitaka kumkera bundi au kumfukuza, mwekee rangi ya BLUE au bulb yenye mwanga wa blue tu huwa inamuumiza macho na kumkera.
Hawaondoki hawa nimefukuza wanarudi tena hapa hapa wamefanya km kwaoAnakula nyama
Sana atakuwa anawinda nyoka na panya
Bundi mzuri hana shida
Ukimfukuza ndio utajua thamani yake
Duuh hivi unajisikiaje unakatisha unapishana na bundi anakutazama tu ukitembea anageuza shingo mpaka unapoelekea kakukazia macho? Ukimsogelea sana anapaa..Sasa si ushukuru Mungu amejileta mwenyewe ili umuone anavyogeuza shingo
Make kama ungetaka kwenda national park ingekugharimu fedha nyingi
Lakini pia niliwahi kusikia kuwa binadamu huwa hafi siku MojaHawaondoki hawa nimefukuza wanarudi tena hapa hapa wamefanya km kwao
Chukua chainsaw kata huo mti ili wakose sehemu ya kujishikizaDuuh hivi unajisikiaje unakatisha unapishana na bundi anakutazama tu ukitembea anageuza shingo mpaka unapoelekea kakukazia macho? Ukimsogelea sana anapaa..
Hapa hakuna mzoga wote tunaoishi hapa ni wazima wa afya kabisa, hakuna mgonjwa anaekaribia kufa hapa ninapoishi kwa hio hio ni negative..Lakini pia niliwahi kusikia kuwa binadamu huwa hafi siku Moja
Kuna process zinatokea kabla ya kifo chake
Hivyo basi Kuna viumbe wamejaaliwa kuhisi hyo hali kabla haijatokea
Na ndio maana unaweza kuwa sehemu fulan ukaanza kushangaa viumbe fulani wanakuja mara kwa mara mfano hao bundi ,Tai nk
N kwamba hao wanahisi mzoga kwahy wanajisogeza pale kwa ajiri ya kupata kitoweo
Hapo kwenu kuna mawindo mazuri ya bundi.Wakuu wa Jukwaa, leo na mimi nina swali ambalo linakua linanitatiza sana kichwani kwangu kwa muda kidogo sasa.
Nimekua napitia hali ya kujiuliza maswali mengi sana juu ya kiumbe hiki kinachoitwa BUNDI. Bundi ni ndege mwenye sifa kede wa kede. Sitaki kuzungumzia sifa za ndege huyu, leo nimeona niwaulize km mimi ninavyojiuliza imewezekanaje ndege huyu kuishi tunapoishi kwa zaidi ya Mwezi?
Yaan anakuja kila usiku unapoingia kuanzia majira ya saa 4 - 6 mpaka 7 usiku BUNDI anakua kashafika tayari kwenye mazingira yake na anakaa palepale anapokaa siku zote kwenye mti ule ule anaosimamaga siku zote na anatazama uelekeo ule ule anaotazama siku zote (anatazama mlangoni watu wanapotokea na kuingia) yaan ukifungua mlango kwa ajili ya kutoka nje unakutana na BUNDI yupo juu ya mti anakutazama na anakukazia macho haswa, na haondoki hapo mpaka kunaenda kupambazuka saa 11 kuelekea 12 asubuhi ndio BUNDI anaondoka ni km amekuja kulinda nyumba au sielewi, ukimpita anageuza shingo, hapo kabla sikua najua nilikua nasikia tu na kujionea kwenye video za kule Utube km BUNDI anao uwezo wa kugeuza shingo yake kwa jinsi anavyotaka, hii nimejionea mubashara yaani nimejionea bure kabisa bila kwenda kwenye Mbuga au Hifadhi fulani na kulipa kiingilio ili nione.
Sasa basi leo naomba tujiulize kwa pamoja au km yupo mwenye kufahamu atufahamishe inawezekanaje BUNDI kukaa sehemu moja kila unapoingia usiku kwa zaidi ya Mwezi? Na anapofika BUNDI watu waliopo ndani ya nyumba hata waliopo nyumba za jirani usiku wanaweweseka sana, utasikia mtu anaweweseka huko unajua tu tayari BUNDI yupo nje hapo kashaweka kambi, na ukisikia mtu kaweweseka ukitoka tu nje ile kufungua geti tu unamuona bundi yule pale kwenye mti anakutazama, hii ina maana gani wakuu? BUNDI kuweka kambi kila usiku anatutazama nje wakati sisi tumelala ndani, hii inamaanisha nini?
Unataka tukate miti yetu ya vivuli na matundaChukua chainsaw kata huo mti ili wakose sehemu ya kujishikiza
Hapa sasa nimekuelewa vizuri mkuuHapo kwenu kuna mawindo mazuri ya bundi.
Kama kuna
1. Panya
2. Mijusi
3. Popo
4. Wadudu
Basi hapo kashafika haondoki.
Cha kufanya fanya usafi wa mazingira na ondoa vivutio vya popo. Weka taa za nje kata hiyo miti ya haradali (popo ndio wanaipenda).
Hizo panya buku nazo weka sumu zidanji.
Baada ya wiki njoo hapa utupe mrejesho.
Mimi kwangu nilikua nina ishu ya popo. Nilikua na miharadali miwili. Ikabidi mmoja nikate na uliobaki nikaweka taa pembeni tangu siku hiyo popo alitoka nduki....Hapa sasa nimekuelewa vizuri mkuu
Hapo nimekuelewa mkuu, hio miti ipo ila imepunguzwa sasa hivi popo hawaji ila wanakuja bundiMimi kwangu nilikua nina ishu ya popo. Nilikua na miharadali miwili. Ikabidi mmoja nikate na uliobaki nikaweka taa pembeni tangu siku hiyo popo alitoka nduki....
Mrushie kigae cha chungu hatarudi tenaMgonjwa wa nini? Ungefafanua vizuri mkuu kumbuka ni zaidi ya Mwezi yupo tena haji mmoja sasa wamekua wanakuja na wenzake watatu km sio wawili, sema huyo mmoja ndio anakua front line yeye ndio anasimama kwenye huo mti anatazama mlango kwa sana na anapenda sana kukaa kwenye huo mti na haogopi hata ukimsogelea (nimethubutu kufanya hivi) labda uonyeshe ishara za kutaka kumrushia kitu ndio anaruka (nilifanya hivyo pia) kisha anazunguka na kurudi tena kwenye ule ule mti
Hata ukimfukuza hapo ukakaa wewe anahamia kwenye mti mwingine haupo mti mmoja, ukiondoka anarudi kwenye huo mti kukaa sasa hivi yupo kakaa tayari mida fulani kwenye saa 2 nilimfukuza akapaa sasa hivi amerudi tena sio mdogo ni mkubwa ila unaweza kumsogelea sema ukimsogelea sana anapaa hataki umsogelee sanaKata huo mti anapotua