Hii inawezekana vip?

Hayo uliyosema yametoka wapi? Mbona tunaambiwa tena Musa kipindi anawapeleka wayahudi kutoka utumwani kuelekea nchi ya ahadi walipita jangwani na walikaa miaka mingi? Na tukiangalia Musa alikuwepo kabla ya Samson, hii inaashiria middle east ilikuwa ni ardhi yenye hali ya jangwa, kama walikaa jangwani miaka 40 unafikiri hilo jangwa lilikuwa mchezo?

Naomba jibu... Hapa ni hoja kwa hoja...
Tumedanganywa..
 
Kweli musa na Samson wa kwanza musa
 
Kuna sehemu maeneo ya Ouagadougou ipo wilaya inaitwa Mbinguni hapo ukipanda farasi wanakupeleka ukakutane na watu waliokufa zama za kale.
 
Kuna sehemu maeneo ya Ouagadougou ipo wilaya inaitwa Mbinguni hapo ukipanda farasi wanakupeleka ukakutane na watu waliokufa zama za kale.
Yeye huyoo kiongozi alitokea mashariki ya kati
 
Kweli we ni mzigua, hii simulizi yako imekaa ki kizigua zigua tu.
 
Sasa huyoo kiongozi Alienda kama jini au mchawi
Roho ilienda, ni mambo ya ulimwengu wa roho... We husikiagi wahubiri wa kilokole wanaingia ulimwengu wa roho..🀣
Masuala ya kiimani hayo..
Roho si unasikia ina kasi ya ajabu
 
Sema na wewe mwanangu unazingua...
Mi namwambia tampiga huyo aliyetuma picha yako hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ooooooooh huyooo anahitaji dude mshamba sana
 
Roho ilienda, ni mambo ya ulimwengu wa roho... We husikiagi wahubiri wa kilokole wanaingia ulimwengu wa roho..🀣
Masuala ya kiimani hayo..
Roho si unasikia ina kasi ya ajabu
Sasa hakwenda yeye ilienda roho na hiyoo roho ndio ikapanda punda
 
Hadi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…