Hii inawezekana vip?

Hii inawezekana vip?

Hili jambo jawabu lake lipo wazi.Tatizo ni uvivu wetu wa kusoma na badala yake tunafuata miongozo na mafundisho ya 'wakubwa' wa dunia walioharibu na kupotosha mambo mengi mno kwenye uso wa dunia
 
Hili jambo jawabu lake lipo wazi.Tatizo ni uvivu wetu wa kusoma na badala yake tunafuata miongozo na mafundisho ya 'wakubwa' wa dunia walioharibu na kupotosha mambo mengi mno kwenye uso wa dunia
Jawabù lake ni lipi hilo
 
Kila mtu anayekufa mwili huoza nafsi huenda kwa Mungu kama mtu alikuwa mzuri na kama alikuwa mwovu nafsi inakwenda kuchomwa moto.

Maana yake ni hivi nafsi huishi hata baada ya kifo.

Roho zote ni Mali ya Mungu, mtu atende maovu au mema roho yake lazima itakwenda kwa Mungu. Ez 18:4.

Kwahiyo kwakuwa nafsi haifi kuna uwezekano wa kumuona mtu aliyekufa miaka hata elfu 10 iliyopita.

Ila huyo mtume wa kupanda Ibraku alikuwa wa mchongo, muongo mwongo kama baba yake View attachment 3153997shetani . Yoh 8:44
Mkuu mfano Chui akiingia ndani kwako utamkamata halafu utamrushia chumbani kwa watoto wako ?

Then utawaambia watoto wako ole wao washindwe kupambana nae, Utawatandika fimbo?
 
Mkuu mfano Chui akiingia ndani kwako utamkamata halafu utamrushia chumbani kwa watoto wako ?

Then utawaambia watoto wako ole wao washindwe kupambana nae, Utawatandika fimbo?
Yaaaan ujinga sanaa
 
Back
Top Bottom