Hii inawezekana vip?

Hii inawezekana vip?

Tatizo Huna jicho la Tatu ambalo ni la mambo ya kiroho yasiyoonekana Kwa macho yetu ya Kawaida!!
Ila mambo ya kiroho upunguze ujuaji!!
 
Hayo uliyosema yametoka wapi? Mbona tunaambiwa tena Musa kipindi anawapeleka wayahudi kutoka utumwani kuelekea nchi ya ahadi walipita jangwani na walikaa miaka mingi? Na tukiangalia Musa alikuwepo kabla ya Samson, hii inaashiria middle east ilikuwa ni ardhi yenye hali ya jangwa, kama walikaa jangwani miaka 40 unafikiri hilo jangwa lilikuwa mchezo?

Naomba jibu... Hapa ni hoja kwa hoja...
Tumedanganywa..
Jangwa lilikua Sinai bwashee kule kaanani ilikua nchi ya Asali na maziwa ni kama vile tu umetoka zako mwanza vizuri kuna ( ukijani) ukashuka mpaka Dodoma (jangwa) ukaingia zako Tukuyu kwa wanyaki huko full viazi,ndizi na parachichi!
Bado huelewi mfano?
😁😁
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Sasa hakwenda yeye ilienda roho na hiyoo roho ndio ikapanda punda
Ni ulimwengu mwingine ... Hujawahi kusoma hadithi kwenye biblia Elijah na yeye alipaa kwenda mbinguni na farasi wenye mbawa?

Same na hio story unasema alipaa na farasi anaitwa buraq na yeye ana mbawa... Umeona hayo mambo... Haya sema kwenye biblia kuna uongo...
 
Mambo ya buraq sijuii white mm sijui
 
Jangwa lilikua Sinai bwashee kule kaanani ilikua nchi ya Asali na maziwa ni kama vile tu umetoka zako mwanza vizuri kuna ( ukijani) ukashuka mpaka Dodoma (jangwa) ukaingia zako Tukuyu kwa wanyaki huko full viazi,ndizi na parachichi!
Bado huelewi mfano?
😁😁
Hii unatunga mzee, middle east ni jangwa toka zamani, sio sehemu ya kuishi mnyama kama simba, kama simba walikuwepo ina maana swala, punda milia, nyati walikuwepo, cause hao ndio chakula cha simba...

Mbona serengeti haijawa jangwa?
Tuelezee kitaalamu..

Hayo ma pyramid yaliyopo jangwani wanasema yapo 3000 yrs before christ na kulikuwa hivyo hivyo na jangwa... Hii ni chai..
 
Hoja nzitoo hii ndio inatupanua ubongo wetu
 
Hata nashangaaa upande punda ufike mbinguni huu si utoto
Kwa hiyo huko mbinguni kuna wanyama kama punda na wengine
wapo wanaishi? Na kama hawapo huyo punda baada ya kumfikisha mheshimiwa huko mbinguni aliendelea kuishi huko huko au alirudi tena duniani?
 
Kwa hiyo huko mbinguni kuna wanyama kama punda na wengine
wapo wanaishi? Na kama hawapo huyo punda baada ya kumfikisha mheshimiwa huko mbinguni aliendelea kuishi huko huko au alirudi tena duniani?
Pauline wana zuoni
 
Kisa cha Samson kimelenga miaka zaidi ya 350 BCE pale Hebron palikua na misitu na mapori yenye wanyama kabla ya mabadiliko ya kimazingira yaliyopelekea ukame na semi Arid
Ila hapo mbele sijui wewe amini tu hiyo hadithi kama ni kweli au uongo utajua mwenyewe!
😁😁
Mbali na misitu mkuu Kuna desert lions ambao wanaishi jangwani
 
Back
Top Bottom