Hii kasheshe kubwa

Ila sio mbaya akatafutiwa darasa la kujifunza kupika sababu sidhani kama huyo mdada anapenda kupika hayo makwasu kwasu.
Mimi mwenyewe toka niko nyumbani nimejifunza kupika naweza kupika,nadhani mwanamke huyo maybe ni wale ambao toka wadogo wao kupikiwa,kufuliwa na mfanyakazi tu.

Kweli still hapo anaweza akajifunza akawa vizuri.
 
Kwani ule ni uchafu Mkuu. Nadhani ni namna alivyokoroga koroga sababu lait ungepata mpishi huo muogo wala usingekuwa na muonekano huo uliouweka hapo.

Hivyo hakuna kitu cha kuliwa halafu kikaitwa uchafu Mkuu.
Ajui kupika ngumu kumeza... Ndio madhara ya kulikimbia jiko.
 
Apambane na hali yake tu mkuu Siwezi kwa kweli na isitoshe madada zangu wote wapo kwa waume zao.
 
Mimi mwenyewe toka niko nyumbani nimejifunza kupika naweza kupika,nadhani mwanamke huyo maybe ni wale ambao toka wadogo wao kupikiwa,kufuliwa na mfanyakazi tu.

Kweli still hapo anaweza akajifunza akawa vizuri.
Na wengi huwa wanaathiriwa na hiyo hali ya kufanyiwa jambo na wasaidizi wa ndani.

Umeonaee. Kama hajamchoka na bado anamuhitaji nadhani sio mbaya akampa nafasi ya kumfundisha au kumtafutia wa kumfundisha namna ya kupika chakula chenye muonekano wa kueleweka na kilichoungwa vyema pia
 
Aelekezeki sasa jana tu usiku kapika wali
Bokoboko ngumu kwa kweli
 
Huyo atakua anataka kumrudia mkewe hana lolote
Si unaona masotojo hayo ya mke wangu
Hatari mno. Wacha kuchezea watu na fani zao...nimerudi kwa mama watoto sasa hivi
Mambo safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…