I know.... Nia yangu hata kipindi mlio a nakuwa harsh wasn't kutiisha watuHata ukiwa harsh haitamtisha mtu yoyote humu
Mwisho wa siku najua unajua neno lako sio sheria na uzi wa aina hii yako sio mara ya kwanza kuwepo
Sawa kijana mdogo ulijua kunikera aisee 🙌Aisee unajua I was going thru a transformation.. So maybe it was part of it. Ukijua ukweli kuna namna unadhani ya kuwa ukweli wako pekee ndo ulio sahihi
You're such a kindred spirit
Thanks
Hii pia haitakusaidia kituHata hivyo najitahidi kutumia the right approach
Sawa kijana mdogo 😊Hata ivyo najua it was not intentional.. Japo kuwa nahisi na mm kuna vitu nimekusaidia kuvihandle hasa aina ya watu kama mm
My name 😊Haya mshangazi ulale mnono
Kipindi hicho hakuna hata tiktok wala youtube monitization ina maanisha walikuwa manabii wa mitandao ya kijamii kwa kuona mbali kuwa kuna wakati itakuja kuwa ni maslahi, na kweli walikimbia JF na kujipata huko duniani kwenye mitandao ya kijamiiWaliopewa nini kwa kuwa na likes nyingi?
ile ya kuhusu Binti sio?Jana tu ulipost a sensitive matter.. Leo ego umerudi square one sio?
Wengine ndo tunakesha na Nokia tochiKipindi hicho hakuna hata tiktok wala youtube monitization ina maanisha walikuwa manabii wa mitandao ya kijamii kwa kuona mbali kuwa kuna wakati itakuja kuwa ni maslahi, na kweli walikimbia JF na kujipata huko duniani kwenye mitandao ya kijamii
CrapUnakuta jitu joined 2011 na lenyewe kinapost memes! Like what the hell?
We're so distracted that focusing is considered a chore nowadays
huyo haaminiki, hachelewi kuharibu. Shida yake kubwa ni konyagiNa alikuwa mpole kabisa... Saizi anajinadi haambiwi lolote
Ni kuishi nao kwa akili tuNdiyo hivyo hivyo tuView attachment 3645908