Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini?

Hii simu za mkopo zimeondoa kabisa ile dhana ya "smart-phone" ukichanganya na changamoto ya wajinga kupata confidence na ujinga kuonekana ndiyo njia ya kutoka kimaisha basi imedhihirika ule msemo wa wahenga kuwa Dunia uwanja wa fujo.
Hivi sasa wajinga ndiyo wana'run' Dunia, kwahiyo imekuwa chaos kwa tabaka la wenye weledi. Habari za Dotto magari na Mwijaku zinapata airtime na zinauzika zaidi kuliko hata taarifa za Bwana Mdogo Chegere kuwa associate Prof. na kuwa motivate vijana kupiga kitabu.
Kwa hayo machache nina imani umeshapata taswira ni wapi tunaelekea kama Taifa
 
It's even worse kwa kweli

Ndo hawa hawa wanafanya jamii ioze
 
Muone na komwe lake, kitumbo kama papai

Unajifanya mpole na kumbe haufahi..!! 😹😹

Tutolee udikteka wako hapa.
Unatupangia cha ku comment aiboooh..!!
Wewe nae mvua imekukosesha ugali leo hasira unanitupia mimi?

Mimi nawaasa watu kama nyie mliovurugwa na kutema shit kila wasaa

Hahahaha, ina bidi mkae kwa kutulia
 
Wewe nae mvua imekukosesha ugali leo hasira unanitupia mimi?

Mimi nawaasa watu kama nyie mliovurugwa na kutema shit kila wasaa

Hahahaha, ina bidi mkae kwa kutulia
Wewe uniase mimi? 😹😹
Maiti inaweza kumuongezea damu mgonjwa kweli?

Gunner tatizo lako kubwa ni kujipa umuhimu humu JF.
Sehemu ambayo watu tunatumia fake ids wewe utake kuwa special really? 😹😹😹

Halafu wewe mbwa unaongoza kwa kupenda attention na mataahira wenzako wengine. Baada ya msako wa kuungiwa I’d ulivyoanza naona wamepoa umebaki wewe..!!

Humu kuna ids zinajichetua sana kupata kiki, kuna muda utachoka utaichukulia JF kawaida na ndio dawa ya ugonjwa wako itakapopatikana..!! 😹
 
Ubaya ni kuwa mimi huwa nina ego mbaya sanaa

Mimi huwa ni mtu ambaye nikipata la kunishusha nakuja na comeback...

Na aibu mtaona nyie tuu... Fake IDs na nyuma yake si kuna watu? Issue ni kuwa watu mnapenda maisha ya kidwanzi...

A home of great thinker mmeigeuza sehemu ya kuongelea zinaa, na ushoga.. Sasa Mimi ndo ile dawa msio ipenda..

Ofcourse hakuna asiye penda attention humu duniani

Siwezi kuchoka, hainaga kuchoka katika passion ya mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…