Duniatunapita man
Senior Member
- May 5, 2024
- 181
- 252
Neema zinawapumbaza watu wengi. Japo muda wowote mambo yanabadilika,. Aliyejuu anaweza kushuka na wachini akapanda juu. Kwahyo haistahili kumdharau mtu kwasababu yeyoteKwangu namuona ni mtu ambaye amejaaliwa kipato lkn ana majivuno pia
Ameshasahau aliyemjalia hayo ni Allah,hivyo anajiona ni ujanja wake
KIburi ni kitu kibaya sana hapa duniani
ani huyu
Sugu ana degree acha utapeli wakoMtu kama Sugu alipata yai lakini ni Bilionea π
Hata mimi wa degeree ume ni concluded au...πππππMuacheni Dotto aendelee kuwanyoosha na DIPLOMA ZENU UCHWARA.
Sisi wenye elimu kubwa kuanzia PhD na MASTERS hatujaguswa na hili. TUNAJIAMINI.
Wenye DIPLOMA ZA NYUKI mtajua hamjui.
Cc: DR Mambo Jambo Yohimbe bark Poor Brain Lamomy mshamba_hachekwi dronedrake Mzee wa kupambania
Sijachukia. Ila masikitiko maana najua umuhumu wa elimu.Usichukie hiyo ni challenge, mkuu tafuta pesa acha kuchukia wenye pesa
Hela unaweza hata ukarithi, lakini pia elimu ina kazi nyingi za kufanya tofauti na kutafutia hela tuUtapataje hela bila akili? ππ
Anachomaanisha Akili Siyo Makaratasi πΌ
Sasa kama elimu ni muhimu peleka cheti bank upewe mkopoSijachukia. Ila masikitiko maana najua umuhumu wa elimu.
Huwezi kurithi hela kama huna AkiliHela unaweza hata ukarithi, lakini pia elimu ina kazi nyingi za kufanya tofauti na kutafutia hela tu
Tatizo una DEGREE YA KUFUGA NYUKIHata mimi wa degeree ume ni concluded au...πππππ
Kwa hiyo Daktari aliyeamua kupata mshahara mdogo ili kuokoa maisha ya watu hana akili. Kwa hiyo mwalimu wa shule ya msingi St Kayumba kwa wito wake akaamua kujitolea kufundisha watoto wa kaya masikini kwa mshahara mdogo hana akili, kwa hiyo hata wale wataalamu wengine waliojitolea kusaidia jamii kwa kutumia elimu zao hawana akili.Anachosema ni ukweli mtupu.
Mimi nikikutana na mtu ana hela kuliko mimi basi pia atakua na akili kunizidi, maana haiwezekani uwe na akili halafu ukose hela, narudia tena haiwezekani.
Huna hela = Huna akili.
Na kuchora vikatuni....Tatizo una DEGREE YA KUFUGA NYUKI
Hakuna Allah anayejalia watu vipato.Kwangu namuona ni mtu ambaye amejaaliwa kipato lkn ana majivuno pia
Ameshasahau aliyemjalia hayo ni Allah,hivyo anajiona ni ujanja wake
KIburi ni kitu kibaya sana hapa duniani
Ukishakuwa na kupitia utejaDotto kuna muda anavuka mipaka ya utani hadi kutukana, matusi sio utani.
KWANINI?Huyu ukimshitaki mahakamani ndiyo unathibitisha huna elimu.
Anatukana wateja hayo magari atamuuzia mama yake?Huyu jamaa Huwa mnampa publicity Bure tu Hana mpango wwte.
Hela hata ya kunyoa nywele hana ona nywele zake kama kichaa katoka kuokota mavi jalalani hata kitana cha kia tano hawezi nunuaMjinga m1 anayeongea ujinga ujinga na wajinga wakimspoti