Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Ngoja tuambiane ukweli mchungu. ‘Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke.’ Ondoa jambo hilo kichwani mwako. Tena liondoe kabisa.
Nafuatilia namna matajiri walivyofanikiwa, hakuna aliyefanikiwa kwa ajili ya mwanamke.
Kama yupo nikumbusheni.
Mwanamke hapendi shida, mwanamke ni muoga, kama unataka kutafuta utajiri na una mke, ni lazima uwe mwanaume mwenye maamuzi.
Jeff Bezos alimwambia mkewe, MacKenzie kwamba acha kazi tuwekeze kwenye kampuni hii mpya. Mkewe alishangaa, alikaza ila mwisho akakubaliana naye.
Akina Bill Gates na akina Zuckerberg waliwekeza na washikaji zao.siowake zao.
Hakuna sehemu fulani mwanaume aliwekeza na mkewe, waliwekeza na washikaji zao.
Mwanamke huwa hapendi kuhustle na wewe, anataka akija tu, akute tayari umefanikiwa ili achote pesa na kwenda kununua iPhone 16.
Mwanamke atakuvumilia kwa muda ukiwa hauna pesa, ila hatoweza kukuhamasisha kutafuta pesa.
Unajua kwanini?
Kwa sababu hawajui njia za kupata pesa.
Utakutana na washikaji, watakuchorea ramani, jinsi ya kufanya ili upate pesa, mkeo hawezi kukupa ramani, labda wewe umpe ramani.
Narudia tena, hakuna mwanamke aliyekuwa source ya kufanikiwa ya mkewe, kawaulize matajiri wakupe majibu.
Matajiri wakiwasifia wake zao, wanawasifia kwa uvumilivu wao tu.
Hakuna tajiri anayesema bila mke wangu nisingefanikiwa.
Bali watakwambia mke wangu alinivumilia.
Wanawake wanaweza kukuvumilia lakini mpaka pale watakapoona kuna dalili za wewe kupata pesa mbeleni.
So unapoanza kutafuta utajiri, focus kwa washikaji na wewe mwenyewe, usifocus kwa mwanamke.
Washikaji wengi wameangushwa na wanawake.
Tena wale wake wa kanisani kabisa. Kamuulize Bill Gates. Nenda kamuuliza Jeff Bezos.
Haya watu hawataki kuyazungumza kisa wanawake.
Hakimi chupuchupu limkute, sema alikuwa mjanja tu.
Kamuulize Eboue ama mchezaji wa Man United yule Wes Brown.
Nyuma ya mafanikio kuna washikaji na hakuna mwanamke.
Na hii ndiyo maana vijana wengi siku hizi hawataki kuoa.
Unajua kwanini?
Kwa sababu hakuna aliyefanikiwa kisa mwanamke.
Ukianzisha kitu, anzisha na washikaji.
Usianzishe na mkeo.
Mwambie mkeo jinsi pesa zinavyoingia, ila usimwambie inaingia kiasi gani.
Ndiyo!
Usilete mapenzi kwenye pesa.
Linapokuja sualala pesa, mwanamke huwa haangalii mapenzi tena.
Sasa wewe kwa nini uangalie mapenzi kwenye pesa?
Huoni wake za watu wanaliwa kisa pesa?
Kwenye pesa, hawaangalii mapenzi tena.
Wekeza kwa washikaji, usiwekeze kwa mwanamke.
Nakupa akili tu.
Hata kama ni mkeo, umeishi naye miaka kibao.
Usiwekeze kwake, wekeza kwa washikaji ama sehemu nyingine.
Wanawake wanakuja, wanatengeneza familia ila wakitaka kuondoka kisa pesa, hawaangalii nyuma.
Kama mwanamke hataki aolewe na wewe kisa pesa, kwanini na wewe usiseme sitaki kumuoa mwanamke asiye na pesa?
Unaogopa?
Bro!
Wekeza kwa washikaji.
Na hakikisha mkeo haji kusababisha kukosana na wana kisa yeye.
Wana hawagombani kisa mwanamke.
Wana wanatakiwa kugombana kisa pesa.