Mteja wana aina hiyo, unamtafute nje ya ofisi ili mshikishane adabu.Mteja anapiga simu anaporomosha matusi, kejeli na lawama kibao. Alafu unakuta huyo mteja ndio mwenye kos
Kazi ya kudili na psychology ya mtu ni ngumu kuliko ya mpira, ndio maana timu ikifeli anatimuliwa kocha ambaye kazi yake ni kuweka utimamu wa akili na maarifaNi kama useme kucheza mpira ni kazi ngumu kuliko zote kwa sababu muda wote unakimbia Uwanjani. Hapana, kila kazi kama ni professional nina imani umeshakuwa trained kwa changamoto tarajiwa. Wakati wewe unamuonea huruma mchezaji, yeye hilo si tatizo kwake, pengine anawaza kwa nini hawanipi pasi.
Lile tabasamu la air hostes wa Emirates au Qatar airways si la kuzaliwa, wamekuwa trained. Changamoto ni kufanya kazi ambayo huna skills nayo. Kuna customer care anakupa majibu kwa utulivu in professional way mpaka unajiona mjinga na utashangaa mteja mkorofi anarudi tena kupata huduma tena akiwa mpole. Jambo lisilovumilika ni kuhatarisha maisha ya mtoa huduma.
Kazi hipi hiyo?Kazi yangu Ina changamoto mnoo naona bora nitukanwe kama Hao
Sasa uoni kuwa kazi ya Customer Care ni ngumu... unakuta huyo dada kasha jam ila miiko ya kazi inamkataza hasikuzingueKuna kipindi changu Cha ujana nilikuwa napiga maksudi akipokea mwanamke namtongoza tuu.
Utaskia kaka kama unachangamoto nyingine nikusaidie.
Hahahah yeah ni changamoto wateja wakiwa kwenye simu wanajiona wako dunia nyingine, wanaporomosha matusi sanaMteja wana aina hiyo, unamtafute nje ya ofisi ili mshikishane adabu.
Watz wakiwa kwenye vyombo vya mawasiliano wanajifanya wana ujasiri wa kuandika au kuongea chochote kile.
Mimi kazi yangu wewe ukija kufanya lazima unye maana inahusisha kunyanyua vitu vizito, kukimbia na kuchimbaAcha kudharau kazi, unaweza kukuta unayofanya wewe ndio ya kishoga