Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
hamna cha urefu sema walimu wanafanya favour tu,mfano mitihani inayotakiwa kufanyika ni midterm,terminal na annual ila unakuta walimu wanatoa test za mara kwa mara na kufundisha mda wa ziada ila malalamiko yako pale
zinasaidia sana tuUnafikiri hizo test zinasaidia au hazisaidii?
Hawezi kuelewa hata kwa kugongwa makwenzi kichwani. Anawezaje kuhoji issue ya maamuzi ya kikao cha wazazi kuchangia hela kuwamotisha walimu (hususani wanaojitolea) ili kuboresha taaluma ya mtoto aliyemzaa yeye mwenyewe kwa hiyari yake!?Nadhani kaelewa
Mkuu unajipa uhakika gani kwa kutoa hiyo 80 Mtoto atafanya vizuri? Suala sio pesa. Ni utayari waalimu wetu wa kujitoa kwa ajili ya majukumu yao.80 ndogo sana, kumbuka wako pale miaka 2 wanapita tuu, hakuna muda wa kupoteza,mimi ningelipa tuu aongeze chance ya kufaulu
Mkuu,elewa kuwa sipingi maamuzi ya wazazi. Ninachokiongelea ni kitendo cha waalimu kuona wao si sehemu ya tatizo na kuja na hoja kuwa mzazi ajiongeze ili Mtoto wako apambaniwe. Kama mwalimu umefikia hatuwa hii ni wazi kabisa majukumu yako ya uwalimu yamekushinda na hutoshi kwa hiyo nafasi.Hawezi kuelewa hata kwa kugongwa makwenzi kichwani. Anawezaje kuhoji issue ya maamuzi ya kikao cha wazazi kuchangia hela kuwamotisha walimu (hususani wanaojitolea) ili kuboresha taaluma ya mtoto aliyemzaa yeye mwenyewe kwa hiyari yake!?
Ikiwa anaona elimu ni ghali basi ajaribu ujinga. BTW sidhani kama amelazimishwa kuchangia.
Ana mdomo huyo🙌Hawezi kuelewa hata kwa kugongwa makwenzi kichwani. Anawezaje kuhoji issue ya maamuzi ya kikao cha wazazi kuchangia hela kuwamotisha walimu (hususani wanaojitolea) ili kuboresha taaluma ya mtoto aliyemzaa yeye mwenyewe kwa hiyari yake!?
Ikiwa anaona elimu ni ghali basi ajaribu ujinga. BTW sidhani kama amelazimishwa kuchangia.
Umeshaongea tayari kwamba walimu wanajali masilahi yaoMkuu,elewa kuwa sipingi maamuzi ya wazazi. Ninachokiongelea ni kitendo cha waalimu kuona wao si sehemu ya tatizo na kuja na hoja kuwa mzazi ajiongeze ili Mtoto wako apambaniwe. Kama mwalimu umefikia hatuwa hii ni wazi kabisa majukumu yako ya uwalimu yamekushinda na hutoshi kwa hiyo nafasi.
Ujamaa uliondoka na mwalimu Nyerere ndugu yangu. Mlipie mwanao apambaniwe afanye vema kwa masomo yake kwa faida ya maisha yakeMkuu,elewa kuwa sipingi maamuzi ya wazazi. Ninachokiongelea ni kitendo cha waalimu kuona wao si sehemu ya tatizo na kuja na hoja kuwa mzazi ajiongeze ili Mtoto wako apambaniwe. Kama mwalimu umefikia hatuwa hii ni wazi kabisa majukumu yako ya uwalimu yamekushinda na hutoshi kwa hiyo nafasi.
Mkuu nashukuru kwa mawazo yako. Wazazi si walio- arrange hicho kikao. Ni waalimu baada ya kufanya setup ya mipango yao. Wazazi walipitishwa tu kwenye hoja ambayo waalimu waliona kwao ina mashiko kisha wao wakajitoa kama kwamba wao si waratibu wa hicho kikao.Mkuu mbona simple saana kama unaona walimu watafaidi hizo pesa zako muhamishe mwanao.
Hivi kweli wazazi waazimie kikao afu lawama uwatupie walimu?
Unajua maana ya motisha?
Ushawahi kujiuliza ni kwanini kunakuwa na tuzo mbali mbali zinazotolewa kwa wanaofanga vizuri wakati ni wajibu wao kufanya hivyo? Nyie ndio wale wazazi ambao wakishaskia elimu bure basi kazi ni kufyatua tu watoto bila kujali kama watapata huduma muhimu kutoka kwa wazazi.
Wenzenu wa private kuna hadi michango ya majaribio ya kila wiki ila hawalalamiki.
Mkuu tafuta hela ukiwa na hela hata ROHO YA KICHAWI KAMA HII YAKO HAIPO.
Mkuu bahati mzuri sina Mtoto anaesoma huko. Nimeumizwa na mzazi aliyekuja kunipa ABC ya hili. Tena amefika mbali amedai ikitokea mwanae kufeli basi atafelishwa kwa kutomtolea hiyo gharama.Ujamaa uliondoka na mwalimu Nyerere ndugu yangu. Mlipie mwanao apambaniwe afanye vema kwa masomo yake kwa faida ya maisha yake
Elimu gharama sanaMkuu bahati mzuri sina Mtoto anaesoma huko. Nimeumizwa na mzazi aliyekuja kunipa ABC ya hili. Tena amefika mbali amedai ikitokea mwanae kufeli basi atafelishwa kwa kutomtolea hiyo gharama.
Haya si malalamiko waalimu wengi wanakosa uwajibikaji kichaka kinakuwa hiki. Mwanafunzi unamfundisha, kama mwalimu wewe ni mtu wa Kwanza kufahamu changamoto za mwanafunzi wako. Ikitokea anafanya vibaya na wewe unaona suluhu kumuambia mzazi ajiongeze ili mwanae apambaniwe ina maana mwalimu kashindwa kutekeleza majukumu yake kifupi hatoshi.