wax
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 5,945
- 5,733
Ulishawah mpeleka mwanao tuition?Waalimu waliajiliwa kwa kazi ipi?
Kama ulimpeleka kwa nn ulimpeleka wakati shulen walimu wapo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishawah mpeleka mwanao tuition?Waalimu waliajiliwa kwa kazi ipi?
Ungekuepo kwenye Kikao Cha Wazazi, hoja Yako hii ingejibiwa huko huko.Ni shule wasichana mabwepande (Tumaini). Waalimu wamebuni chanzo cha kijiongezea kipato maisha yasonge.
Hii ni shule ya boarding kwa wasichana, kidato cha tano na sita. Mwaka huu baada ya shule kufunguliwa mwezi August, wale wanafunzi waliotoka kidato cha tano na kuingia kidato cha sita, walifanyiwa mitihani ya majaribio.
Matokeo ya majaribio hayo hayakuwa mazuri Sana,ndipo waalimu walipoona fursa ya kuwashirikisha wazazi kwa kuita kikao cha wazazi ili wazazi waone ni namna gani kwa kushirikiana na waalimu wapate ufumbuzi wake.
Baada ya waalimu kuiwasilisha hoja kwa wazazi,waalimu waliondoka na kuacha wazazi wajadili namna gani mzuri watakayoona inafaa ya kuwawezesha waalimu WAWAPAMBANIE WATOTO WAO.
Maazimio ya kikao, wazazi walikubaliana kila mzazi kuchangia 80,000/= elfu themanini ili kuwapa motisha waalimu wapate kutimiza majukumu Yao vizuri. Na hii ilipendekezwa itolewe kwa awamu mbili.
Nirudi kwenu wadau wa jamiiforums,
Je ni sahihi kweli kwa hiki walichokifanya hawa waalimu? Inakuwaje jukukumu linalohusiana na wao mzigo anakuja kubebeshwa mzazi? Utendaji kazi wa mwalimu kwa mwamafunzi wake unaonekana kwenye matokeo.
Upowapi uwajibikaji na uchapakazi wao waalimu hawa? Hivi wakaguzi wa hizi shule mpo? Mishahara wanayolipwa waalimu hawa inatokana na Kodi za hawa wazazi ambao leo wamegeuzwa ng'ombe wa maziwa. Hebu naomba waalimu timizeni wajibu wenu. Tupo kwenye maisha ya kupita tu kama unaona kipato hakitoshi tafuta kwengine tuwahurumie hawa wazazi wanapambana na mengi.
Wewe una uhakika gani mwanao ana utayari wa kusoma?Mkuu unajipa uhakika gani kwa kutoa hiyo 80 Mtoto atafanya vizuri? Suala sio pesa. Ni utayari waalimu wetu wa kujitoa kwa ajili ya majukumu yao.
Umesema jaribio lilitolewa baada ya shule kufunguliwa (form five hawakuwa wamesoma lolote). Je walipewa mtihani wa level ipi? Kama ni level ya advance, walimu wahojiwe inakuwaje umpime mtu kwa kitu ambacho hakifahamu? Kama walipewa mtihani wa olevel, walimu wako sahihiMkuu shida si wazazi kukubaliana je ilikuwa sahihi kwa waalimu hili Jambo kuli- address kwa wazazi? Kwa nini Kwanza wasingeangalia kwanza weakness Yao ipo wapi?
Orodhesha hizo Shule peleka kwa Mkuu wa Mkoa.Hilo Mimi sina shida nalo mkuu. Shule nyingi sasa hivi waalimu wengi hawafundishi wanachoangalia wao salio linasoma mwisho wa mwezi basi.
Dah! Ndugu Mzazi unazingua aisee...!Mkuu nashukuru kwa mawazo yako. Wazazi si walio- arrange hicho kikao. Ni waalimu baada ya kufanya setup ya mipango yao. Wazazi walipitishwa tu kwenye hoja ambayo waalimu waliona kwao ina mashiko kisha wao wakajitoa kama kwamba wao si waratibu wa hicho kikao.
Lengo la wao kufanya hivyo,ionekane maamuzi yoyote yaliyotolewa pale ni ya wazazi si wao. Mtazamo huu ulikuwa mzuri kama sehemu ya wazazi,wangekuwa na malalamiko ya watoto wao kutofanya vizuri hivyo kuitisha kikao cha wazazi na kuangalia namna ya ku- deal nalo.
Hivyo maamuzi ya hapa kama ingeamuliwa na wazazi wenyewe kuwa tuwape motisha waalimu, sioni kama kungekuwa na tatizo. Shida kuwa wao tayari walishafanyiwa setup na waalimu.
Hakuna mzazi asiyemtakia mambo mazuri Mtoto wake endapo kila kitu kitaenda katika njia mzuri. Bado nasisitiza waalimu wasikwepe majukumu yao kwa kisingizio cha motisha ili WAWAPAMBANIE WATOTO WETU. Hakuna roho ya kichawi hapa. Wao wajibu wao kufundisha,motisha itakuja pale juhudi yako inapoonekana. Motisha Kwanza bila jitihada hiyo ni hongo.
Eh!Huu utaratibu upo kwenye shule nying za advance,pia wazaz huchanga pesa za kuiba mtihani wa taifa
If you think education is expensive try ignoranceNi shule wasichana mabwepande (Tumaini). Waalimu wamebuni chanzo cha kijiongezea kipato maisha yasonge.
Hii ni shule ya boarding kwa wasichana, kidato cha tano na sita. Mwaka huu baada ya shule kufunguliwa mwezi August, wale wanafunzi waliotoka kidato cha tano na kuingia kidato cha sita, walifanyiwa mitihani ya majaribio.
Matokeo ya majaribio hayo hayakuwa mazuri Sana,ndipo waalimu walipoona fursa ya kuwashirikisha wazazi kwa kuita kikao cha wazazi ili wazazi waone ni namna gani kwa kushirikiana na waalimu wapate ufumbuzi wake.
Baada ya waalimu kuiwasilisha hoja kwa wazazi,waalimu waliondoka na kuacha wazazi wajadili namna gani mzuri watakayoona inafaa ya kuwawezesha waalimu WAWAPAMBANIE WATOTO WAO.
Maazimio ya kikao, wazazi walikubaliana kila mzazi kuchangia 80,000/= elfu themanini ili kuwapa motisha waalimu wapate kutimiza majukumu Yao vizuri. Na hii ilipendekezwa itolewe kwa awamu mbili.
Nirudi kwenu wadau wa jamiiforums,
Je ni sahihi kweli kwa hiki walichokifanya hawa waalimu? Inakuwaje jukukumu linalohusiana na wao mzigo anakuja kubebeshwa mzazi? Utendaji kazi wa mwalimu kwa mwamafunzi wake unaonekana kwenye matokeo.
Upowapi uwajibikaji na uchapakazi wao waalimu hawa? Hivi wakaguzi wa hizi shule mpo? Mishahara wanayolipwa waalimu hawa inatokana na Kodi za hawa wazazi ambao leo wamegeuzwa ng'ombe wa maziwa. Hebu naomba waalimu timizeni wajibu wenu. Tupo kwenye maisha ya kupita tu kama unaona kipato hakitoshi tafuta kwengine tuwahurumie hawa wazazi wanapambana na mengi.
Sasa wewe jamaa...wazazi si wamekubaliana shida Iko wapi ? Kwani wameshurutishwa? Tena wenyewe bila kushinikizwa.... brother hapo hakuna shida.....walipe tuNi shule wasichana mabwepande (Tumaini). Waalimu wamebuni chanzo cha kijiongezea kipato maisha yasonge.
Hii ni shule ya boarding kwa wasichana, kidato cha tano na sita. Mwaka huu baada ya shule kufunguliwa mwezi August, wale wanafunzi waliotoka kidato cha tano na kuingia kidato cha sita, walifanyiwa mitihani ya majaribio.
Matokeo ya majaribio hayo hayakuwa mazuri Sana,ndipo waalimu walipoona fursa ya kuwashirikisha wazazi kwa kuita kikao cha wazazi ili wazazi waone ni namna gani kwa kushirikiana na waalimu wapate ufumbuzi wake.
Baada ya waalimu kuiwasilisha hoja kwa wazazi,waalimu waliondoka na kuacha wazazi wajadili namna gani mzuri watakayoona inafaa ya kuwawezesha waalimu WAWAPAMBANIE WATOTO WAO.
Maazimio ya kikao, wazazi walikubaliana kila mzazi kuchangia 80,000/= elfu themanini ili kuwapa motisha waalimu wapate kutimiza majukumu Yao vizuri. Na hii ilipendekezwa itolewe kwa awamu mbili.
Nirudi kwenu wadau wa jamiiforums,
Je ni sahihi kweli kwa hiki walichokifanya hawa waalimu? Inakuwaje jukukumu linalohusiana na wao mzigo anakuja kubebeshwa mzazi? Utendaji kazi wa mwalimu kwa mwamafunzi wake unaonekana kwenye matokeo.
Upowapi uwajibikaji na uchapakazi wao waalimu hawa? Hivi wakaguzi wa hizi shule mpo? Mishahara wanayolipwa waalimu hawa inatokana na Kodi za hawa wazazi ambao leo wamegeuzwa ng'ombe wa maziwa. Hebu naomba waalimu timizeni wajibu wenu. Tupo kwenye maisha ya kupita tu kama unaona kipato hakitoshi tafuta kwengine tuwahurumie hawa wazazi wanapambana na mengi.
Usitoe Mkuu ..kaaa tulia ...mwanao utamfundisha mwenyewe masomo ya ziada na kiada.Mkuu shida si wazazi kukubaliana je ilikuwa sahihi kwa waalimu hili Jambo kuli- address kwa wazazi? Kwa nini Kwanza wasingeangalia kwanza weakness Yao ipo wapi?
80k unaona nyingi ngoja mwanao afeli arudi mkae nae apo nyumbani sasa.Ni shule wasichana mabwepande (Tumaini). Waalimu wamebuni chanzo cha kijiongezea kipato maisha yasonge.
Hii ni shule ya boarding kwa wasichana, kidato cha tano na sita. Mwaka huu baada ya shule kufunguliwa mwezi August, wale wanafunzi waliotoka kidato cha tano na kuingia kidato cha sita, walifanyiwa mitihani ya majaribio.
Matokeo ya majaribio hayo hayakuwa mazuri Sana,ndipo waalimu walipoona fursa ya kuwashirikisha wazazi kwa kuita kikao cha wazazi ili wazazi waone ni namna gani kwa kushirikiana na waalimu wapate ufumbuzi wake.
Baada ya waalimu kuiwasilisha hoja kwa wazazi,waalimu waliondoka na kuacha wazazi wajadili namna gani mzuri watakayoona inafaa ya kuwawezesha waalimu WAWAPAMBANIE WATOTO WAO.
Maazimio ya kikao, wazazi walikubaliana kila mzazi kuchangia 80,000/= elfu themanini ili kuwapa motisha waalimu wapate kutimiza majukumu Yao vizuri. Na hii ilipendekezwa itolewe kwa awamu mbili.
Nirudi kwenu wadau wa jamiiforums,
Je ni sahihi kweli kwa hiki walichokifanya hawa waalimu? Inakuwaje jukukumu linalohusiana na wao mzigo anakuja kubebeshwa mzazi? Utendaji kazi wa mwalimu kwa mwamafunzi wake unaonekana kwenye matokeo.
Upowapi uwajibikaji na uchapakazi wao waalimu hawa? Hivi wakaguzi wa hizi shule mpo? Mishahara wanayolipwa waalimu hawa inatokana na Kodi za hawa wazazi ambao leo wamegeuzwa ng'ombe wa maziwa. Hebu naomba waalimu timizeni wajibu wenu. Tupo kwenye maisha ya kupita tu kama unaona kipato hakitoshi tafuta kwengine tuwahurumie hawa wazazi wanapambana na mengi.
""Maazimio ya kikao, wazazi walikubaliana kila mzazi kuchangia 80,000/= elfu themanini ili kuwapa motisha waalimu wapate kutimiza majukumu Yao vizuri. Na hii ilipendekezwa itolewe kwa awamu mbili.""Ni ya serikali mkuu
Maazimio ya kikao, wazazi walikubaliana kila mzazi kuchangia 80,000/= elfu themanini ili kuwapa motisha waalimu wapate kutimiza majukumu Yao vizuri. Na hii ilipendekezwa itolewe kwa awamu mbili.
Mtoa mada Mimi naona umeshajibiwa ni haki wazazi kuwajibika na sio tatizo kabisa kwa wazazi kuchangia 80Ni shule wasichana mabwepande (Tumaini). Waalimu wamebuni chanzo cha kijiongezea kipato maisha yasonge.