Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Mkuu,Maneno mengi pointi zero.....misri sio nchi ya kiislam(Islamic republic),kama Iran na Saudi Arabia
Unaelewa nini inaposemwa "nchi ya kiislam"?...Pia Misri ni nchi ya kiislamu kwanini huyo dada Waziri havai ushungi?
Maneno mengi points zero.....Misri sio nchi ya kiislam kama ilivo kwa Iran au Saudi Arabia.......mtu wa dini yeyote anaweza kua kiongozi Misri.Mkuu,
Shida uliyo nayo ilishinda Walimu wako kutatua. Uwezo wako ni wa kusoma phrases fupi fupi kama maneno ya khanga. Kwenye corporate life huwezi kuishi kwasababu kule ni kusoma kwa mapana, marefu na kina, ni maisha ya nyaraka kubwa kubwa. Watz wengi tuna shida ya kusoma. Hapo ulipo nikikuuliza kwa mwaka unasoma vitabu vingapi utakuwa bubu ghafla. Jizoeshe kusoma na hasa kusoma texts nyingi e.g. nyaraka na vitabu. Natamani ningekuwa Mwl wako ningekusaidia, ila kwa sasa ni vigumu kwasababu "A fool at 40 is a fool forever"
Bikira Maria alikua hayawani kuvaa ushungi!!Wamisri wenye msimamo mkali ni Muslim Brotherhood kina Mohammed Morsi ambao Misri kwa muda mrefu inawatambua kama kundi la kigaidi. Waliobaki ni moderate Muslims na Wakristo wa Coptic ambao ushungi na kuchapa viboko wanaokula kwenye mwezi mtukufu ni uhayawani
Mkuu shungi sio vazi la kiarabuNje ya mada,hawa Waarabu wametuletea ushungi halafu wenyewe wameutupa sijui ni lini Mwafrika ataamka.
Nchi ya kiislam maana yake inaongozwa kwa Sheria za kiislamNimesema kwa 90%. Sijasema ni taifa kamili la Kiislam kwa 100%. Mkristo anaweza kuwa Rais Misri? Mkristo anaweza kuwa Rais Zanzibar? Dhiang' gi jamb iye!
Taifa la kikristo linaongozwa kwa Sheria za kikristo?Zambia ni taifa la Kikristo. Uingereza Waziri Mkuu lazima awe Anglican. Malkia (ukoo wa kifalme) mwenyewe ni Anglican. Aidha, nikufundishe kwa kukusahihisha kwamba Vatican ni ya Kikristo siyo ya Kiislam.
Una uhakika hijab Haina uhusiano na uislam!?..unawwza kuthibitisha?Hijab halina uhusiano na dini tajwa. Tatizo mnachanganya utamaduni wa kiarabu na Imani.
Allah ni muislam?Hijabu ni vazi la kiislsmu haijalishi mearabu muafrika Mmarekani au mwengine yoyote ni DINI ya Allah haitizami kabila uwezo au jinsia
Mtu akisema "hii gari ni ya love life live life" ina maana love life ni gari!?Allah ni muislam?
Aisee... Huku umelinganisha suti na ushungi badala ya kitenge....Rais wa misri amekwenda Paris ufaransa anakohudhuria mkutano wa kimataifa unaohusiana na maridhiano.
Ila nimefurahishwa na hii picha, waziri mwandamizi wa nchi ya kiislamu mwanamama yeye kapiga suti rais wetu nchi ya kiafrika kageuka mwarabu.
Kama jibu ni hapana basi ni sawa sina tatzo naeMtu akisema "hii gari ni ya love life live life" ina maana love life ni gari!?
Si Waislamu wote huvaa ushungi na pia anaweza asiwe Muislamu kwani Christians na imani nyingine zipo pia japo kwa uchache.Pia Misri ni nchi ya kiislamu kwanini huyo dada Waziri havai ushungi?
Exactly.Wamisri wengi wanawake niliokutana nao hawavai ushungi wapo kama wazungu tu, kama ilivyo kwa Waturuki wengi wao, Walebanoni na Syria (wengi wao sio wote).
Mkuu nilikosea sikumaanisha kuvaa ushungi ni uhayawani. Bali kulazimisha kila mwanamke kuvaa ndio haitakiwiBikira Maria alikua hayawani kuvaa ushungi!!
Unaweza ukawa mwanzilishi wa ccm ila usiwe mwana ccm?Mtu akisema "hii gari ni ya love life live life" ina maana love life ni gari!?
Kwa mujibu wa Qur'an ushungi ni kwa akili ya wanawake wa kiislamMkuu nilikosea sikumaanisha kuvaa ushungi ni uhayawani. Bali kulazimisha kila mwanamke kuvaa ndio haitakiwi
Mungu alijalia nilipita hizo nchi, wako tofauti sana, yaani kama wazungu tuExactly.
Sasa kwa nchi kama Saudi Arabia au Afghanistan kila mwanamke analazimishwa kuvaa ushungi unless awe ni untouchable kama Melanie Trump alivyoenda na mumewe ziarani SaudiKwa mujibu wa Qur'an ushungi ni kwa akili ya wanawake wa kiislam
Pana shida kwenye elimu ya uislam,Ila huko mbele itakaa sawaSasa kwa nchi kama Saudi Arabia au Afghanistan kila mwanamke analazimishwa kuvaa ushungi unless awe ni untouchable kama Melanie Trump alivyoenda na mumewe ziarani Saudi