Hii kiitifaki imekaaje?

Hii kiitifaki imekaaje?

Maneno mengi pointi zero.....misri sio nchi ya kiislam(Islamic republic),kama Iran na Saudi Arabia
Mkuu,
Shida uliyo nayo ilishinda Walimu wako kutatua. Uwezo wako ni wa kusoma phrases fupi fupi kama maneno ya khanga. Kwenye corporate life huwezi kuishi kwasababu kule ni kusoma kwa mapana, marefu na kina, ni maisha ya nyaraka kubwa kubwa. Watz wengi tuna shida ya kusoma. Hapo ulipo nikikuuliza kwa mwaka unasoma vitabu vingapi utakuwa bubu ghafla. Jizoeshe kusoma na hasa kusoma texts nyingi e.g. nyaraka na vitabu. Natamani ningekuwa Mwl wako ningekusaidia, ila kwa sasa ni vigumu kwasababu "A fool at 40 is a fool forever"
 
Maneno mengi points zero.....Misri sio nchi ya kiislam kama ilivo kwa Iran au Saudi Arabia.......mtu wa dini yeyote anaweza kua kiongozi Misri.
Acha ujinga
 
Wamisri wenye msimamo mkali ni Muslim Brotherhood kina Mohammed Morsi ambao Misri kwa muda mrefu inawatambua kama kundi la kigaidi. Waliobaki ni moderate Muslims na Wakristo wa Coptic ambao ushungi na kuchapa viboko wanaokula kwenye mwezi mtukufu ni uhayawani
Bikira Maria alikua hayawani kuvaa ushungi!!
 
Zambia ni taifa la Kikristo. Uingereza Waziri Mkuu lazima awe Anglican. Malkia (ukoo wa kifalme) mwenyewe ni Anglican. Aidha, nikufundishe kwa kukusahihisha kwamba Vatican ni ya Kikristo siyo ya Kiislam.
Taifa la kikristo linaongozwa kwa Sheria za kikristo?
 
Rais wa misri amekwenda Paris ufaransa anakohudhuria mkutano wa kimataifa unaohusiana na maridhiano.

Ila nimefurahishwa na hii picha, waziri mwandamizi wa nchi ya kiislamu mwanamama yeye kapiga suti rais wetu nchi ya kiafrika kageuka mwarabu.
Aisee... Huku umelinganisha suti na ushungi badala ya kitenge....
 
Wamisri wengi wanawake niliokutana nao hawavai ushungi wapo kama wazungu tu, kama ilivyo kwa Waturuki wengi wao, Walebanoni na Syria (wengi wao sio wote).
Exactly.
 
Kwa mujibu wa Qur'an ushungi ni kwa akili ya wanawake wa kiislam
Sasa kwa nchi kama Saudi Arabia au Afghanistan kila mwanamke analazimishwa kuvaa ushungi unless awe ni untouchable kama Melanie Trump alivyoenda na mumewe ziarani Saudi
 
Sasa kwa nchi kama Saudi Arabia au Afghanistan kila mwanamke analazimishwa kuvaa ushungi unless awe ni untouchable kama Melanie Trump alivyoenda na mumewe ziarani Saudi
Pana shida kwenye elimu ya uislam,Ila huko mbele itakaa sawa
 
Back
Top Bottom