Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Mkuu,Maneno mengi pointi zero.....misri sio nchi ya kiislam(Islamic republic),kama Iran na Saudi Arabia
Shida uliyo nayo ilishinda Walimu wako kutatua. Uwezo wako ni wa kusoma phrases fupi fupi kama maneno ya khanga. Kwenye corporate life huwezi kuishi kwasababu kule ni kusoma kwa mapana, marefu na kina, ni maisha ya nyaraka kubwa kubwa. Watz wengi tuna shida ya kusoma. Hapo ulipo nikikuuliza kwa mwaka unasoma vitabu vingapi utakuwa bubu ghafla. Jizoeshe kusoma na hasa kusoma texts nyingi e.g. nyaraka na vitabu. Natamani ningekuwa Mwl wako ningekusaidia, ila kwa sasa ni vigumu kwasababu "A fool at 40 is a fool forever"