imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Nadhani umeninukuu tu bila kuelewa ninamaanisha nini.Hijabu ni vazi la kiislsmu haijalishi mearabu muafrika Mmarekani au mwengine yoyote ni DINI ya Allah haitizami kabila uwezo au jinsia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani umeninukuu tu bila kuelewa ninamaanisha nini.Hijabu ni vazi la kiislsmu haijalishi mearabu muafrika Mmarekani au mwengine yoyote ni DINI ya Allah haitizami kabila uwezo au jinsia
Everything in protocol process is properly arranged, well taken care of and documented, nothing is bad luck or oversight. Kiongozi yeyote wa chini ya Rais anapoagizwa na Rais kumsaidia kwenye jambo fulani/kumuwakilisha basi ujuwe haendi kama kiongozi tu wa kawaida bali anaenda na delegated power ya Rais. Kwahiyo hapo President wetu haagwi na Waziri tu bali anaagwa na Waziri aliyekasimiwa sehemu ya mamlaka ya Rais kufanya shughuli hiyo ya kumuaga mgeni. Uki-mess na huyo Waziri ume-mess na power ya Rais mwenyewe.Rais inabidi asindikizwe na Vigogo wa ngazi za juu, sio Waziri
View attachment 2008034
Mkuu wewe nimegundua husomagi uzi, unajibu au unachangia bila kusoma uzi wa nyuma ya unachojibu, hivyo unajibu kwa kupishana na hoja.Ila ni ya wapi?
Mkuu hiyo shida anayo pia msoso Mpeseni.Nadhani umeninukuu tu bila kuelewa ninamaanisha nini.
Sema baada ya kichwa kuanza kuota mvi, anazifichaKwa hiyo yanakukera Sana.Ila kwa maelezo yake mwenyewe Rais Samia ameanza kuvaa ushungi baada ya kuingia kwenye siasa.wkt yupo kwenye mashirika ya mabeberu alikuwa anavaa kama huyo dada hapo.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
na mbu wenyewe wa kutuamsha wanawateketeza achilia mbali wachawi wanaokimbia mji kwa ajili ya taa zimekuwa nyingiNje ya mada,hawa Waarabu wametuletea ushungi halafu wenyewe wameutupa sijui ni lini Mwafrika ataamka.
Tuliza mshono. Endelea kubugia kitimoto hapo Parokiani.Pia Misri ni nchi ya kiislamu kwanini huyo dada Waziri havai ushungi?
Hijab halina uhusiano na dini tajwa. Tatizo mnachanganya utamaduni wa kiarabu na Imani.Hijabu ni vazi la kiislsmu haijalishi mearabu muafrika Mmarekani au mwengine yoyote ni DINI ya Allah haitizami kabila uwezo au jinsia
Maneno mengi pointi zero.....misri sio nchi ya kiislam(Islamic republic),kama Iran na Saudi ArabiaMisri ni chimbuko la Uislamu, ni mwanachama wa OIC, ni mwanachama wa Arab League. Kwa 90% ni Islamic Nation. (Ingawa hata Mozambique ni mwanachama wa OIC, pia Israel ni mwanachama wa OIC japo Wayahudi wako 75%, ila Israel imejiunga OIC kwa maslahi ya Kiulinzi na Usalama (kufanya ujasusi kwa nchi za Kiarabu ili iweze kukaa salama))
Bro nchi nyingi duniani rais huwa hapokei wala hasindikiziRais inabidi asindikizwe na Vigogo wa ngazi za juu, sio Waziri
View attachment 2008034
Nimesema kwa 90%. Sijasema ni taifa kamili la Kiislam kwa 100%. Mkristo anaweza kuwa Rais Misri? Mkristo anaweza kuwa Rais Zanzibar? Dhiang' gi jamb iye!Maneno mengi pointi zero.....misri sio nchi ya kiislam(Islamic republic),kama Iran na Saudi Arabia
Kuona kuwa Mgeni hana lolote la maana bali wamepoteza muda na pesa za kumlisha kwa siku 3 zote!
Acha kuchanganya jifunze hiki kitu........Indonesia ndio nchi yenye waislam wengi ila sio nchi ya kiislam.Nimesema kwa 90%. Sijasema ni taifa kamili la Kiislam kwa 100%. Mkristo anaweza kuwa Rais Misri? Mkristo anaweza kuwa Rais Zanzibar? Dhiang' gi jamb iye!
Tupe Aya.Alafu kiislam mgeni wa kike anatakiwa asindikizwe na wa kike mwenzie
Kuvaa ushungi ni ushamba wa waislamu walioupokea kwa pupa. Mungu hayumo kwenye ushungi.Pia Misri ni nchi ya kiislamu kwanini huyo dada Waziri havai ushungi?
Zambia ni taifa la Kikristo. Australia inatambua Ukristo zaidi. Uingereza Waziri Mkuu lazima awe Anglican. Malkia (ukoo wa kifalme) mwenyewe ni Anglican. Aidha, nikufundishe kwa kukusahihisha kwamba Vatican ni ya Kikristo siyo ya Kiislam.Acha kuchanganya jifunze hiki kitu........Indonesia ndio nchi yenye waislam wengi ila sio nchi ya kiislam.
Iran,Saudi Arabia,ni nchi za kiislam.
Jifunze.
Mkristo gani ameshawahi kugombea urais/umakamo wa urais Zanzibar?,umewahi soma hata basic ya hesabu za probability?
Zanzibar kuna waislam wengi ila sio nchi ya kiislam.
Kuna nchi za kiislam duniani,ila hakuna nchi ya kikristo hata moja,hata Vatican