Hii kiitifaki imekaaje?

Hii kiitifaki imekaaje?

Maneno mengi points zero.....Misri sio nchi ya kiislam kama ilivo kwa Iran au Saudi Arabia.......mtu wa dini yeyote anaweza kua kiongozi Misri.
Acha ujinga
Christians presently constitute around 5% of the Egyptian population. Nevertheless, some media and other agencies, estimate the Christian population of Egypt to be between 10-15%.

Islam is the dominant religion in Egypt with around an estimated 90.3% of the population. Almost the entirety of Egypt's Muslims are Sunnis, with a very small minority of Shia. The latter, however, are not recognized by Egypt.
Islam has been recognized as the state religion since 1980.

Source: Islam in Egypt - Wikipedia


So you fabricate for fear of looking stupid.

1636740002051.png
 
Nchi nyingine viongozi wao wanakuwa bize na ratiba zao huku wakifanya delegation of chain of command... Si kama huku kwetu tukisikia kiongozi wa nchi nyingine anakuja basi inakuwa "public holiday" ya mapambo na ngoma zitaenda kupigwa kuanzia alfajiri hadi usiku wa manane!
Muhimu ni alienda Misri na yaliyompeleka ameyakamilisha. Kusindikizwa sasa inategemeana.

NB: Ukija kwangu muda wangu wa kuonana na wewe ukiisha hakika nitakuacha hapo uji-sort!
Na kama sikuwa na ratiba yako ndo sitakuja kabisa kukuona!
Mambo ni mengi! Muda mchache!
Bongonyoso ni nchi ya hovyo sana, juzi kaja muigizaji wa Kihindi mara ana mkutano na waziri mkuu na rais wa Zanzibar yaani upuuzi uliopitiliza.
 
Acha kuchanganya jifunze hiki kitu........Indonesia ndio nchi yenye waislam wengi ila sio nchi ya kiislam.
Iran,Saudi Arabia,ni nchi za kiislam.
Jifunze.
Mkristo gani ameshawahi kugombea urais/umakamo wa urais Zanzibar?,umewahi soma hata basic ya hesabu za probability?
Zanzibar kuna waislam wengi ila sio nchi ya kiislam.
Kuna nchi za kiislam duniani,ila hakuna nchi ya kikristo hata moja,hata Vatican
Zipo nchi za Kikristu moja wapo ni Armenia, na pia wapo magaidi wa kikristu moja wapo ni Taimil Tiger (hilo jina la kwanza najua litamka tu wakuu).
 
Christians presently constitute around 5% of the Egyptian population. Nevertheless, some media and other agencies, estimate the Christian population of Egypt to be between 10-15%.

Islam is the dominant religion in Egypt with around an estimated 90.3% of the population. Almost the entirety of Egypt's Muslims are Sunnis, with a very small minority of Shia. The latter, however, are not recognized by Egypt.
Islam has been recognized as the state religion since 1980.

Source: Islam in Egypt - Wikipedia


So you fabricate for fear of looking stupid.

View attachment 2008273
Ulishasikia mzinzi kuchapwa bakora Mia misri?!!..ndo kwanza airport pameandikwa wapo wengi Kama wewe,nchi ya kiislam unaogopa Muslim brotherhood!!
 
Yaani wewe unafikiri kuwa nchi ya kiislamu ndo wote wawe waislamu??
Au wewe ndo wale wale mnaofikiri Dubai au Qatar kuna uislamu zaidi ya ule wa Magomeni Mwembechai?
Umemjibu poa sana
 
Ulishasikia mzinzi kuchapwa bakora Mia misri?!!..ndo kwanza airport pameandikwa wapo wengi Kama wewe,nchi ya kiislam unaogopa Muslim brotherhood!!
Afghanistan is a unitary presidential Islamic republic.
Source: ronroblox.fandom.com/wiki/Afghanistan

Sasa mbona wanaogopa Taliban ndani ya nchi ya Kiislam!

Uislam uko kwenye madhehebu ma-3 Suni, Shia, Ibadi. Wote kuna sehemu hawakubaliani.
 
Afghanistan is a unitary presidential Islamic republic.
Source: ronroblox.fandom.com/wiki/Afghanistan

Sasa mbona wanaogopa Taliban ndani ya nchi ya Kiislam!

Uislam uko kwenye madhehebu ma-3 Suni, Shia, Ibadi. Wote kuna sehemu hawakubaliani.
Ibadhi(ibad) ni sunni
 
Nimebahatika kutembelea nchi kadhaa za Middle East na Gulf so I understand what you mean, mfano Lebanon na Egypt uzungu umetamalaki sana.
Magari yao mengi ni ya Kimarekani tu, niliipenda sana Lebanon
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Nimebahatika kutembelea nchi kadhaa za Middle East na Gulf so I understand what you mean, mfano Lebanon na Egypt uzungu umetamalaki sana.
Awali Misri ilikuwa chini ya ukoloni wa Mfaransa, Mwingereza akaja kufukuza majeshi ya Napoleon Bonaparte, hivyo kuna influence ya Uzungu kutokana na historia hiyo.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
West inaitumia sana Misri ku-neutralize mgogoro wa Mashariki ya kati kwasababu nchi za ghuba na Mashariki ya Kati kwa ujumla wao zinaiheshimu sana Misri.
Hivi ni kwanini, kwanini halafu sio waislamu wenye msimamo mkali
 
Hivi ni kwanini, kwanini halafu sio waislamu wenye msimamo mkali
Egypt inajiamini kama US, ni taifa kubwa la millennium takriban 4 kuliko hata US na Roman Empire. Egypt kama US imekataa kuwa mwanachama wa Commonwealth japo ni koloni la Uingereza. Lakini imevutiwa na kujiunga OIC na Arab League of Nations.
 
Ni ya kiislamu ila serikali yake sio theocratic.Subiri wale brotherhood wachukue dola patakua kama Iran.
Chura huko Deep sana kwa mambo mbalimbali licha ya kuishi kwa shemeji yako
 
Utopolo mtupu
Everything in protocol process is properly arranged, well taken care of and documented, nothing is bad luck or oversight. Kiongozi yeyote wa chini ya Rais anapoagizwa na Rais kumsaidia kwenye jambo fulani/kumuwakilisha basi ujuwe haendi kama kiongozi tu wa kawaida bali anaenda na delegated power ya Rais. Kwahiyo hapo President wetu haagwi na Waziri tu bali anaagwa na Waziri aliyekasimiwa sehemu ya mamlaka ya Rais kufanya shughuli hiyo ya kumuaga mgeni. Uki-mess na huyo Waziri ume-mess na power ya Rais mwenyewe.

Mwaka 2009 wakati Mhe. Raila amewaburuza The Hague Rais Uhuru, DP Ruto and sundries, Mhe. Raila ali-lobby kwamba ili haki kutendeka kwa wahanga wa vita ya uchaguzi ya 2008, Uhuru na Ruto wasiende The Hague kama viongozi wa kitaifa wakati wao ni washukiwa wakuu. GoK ikaelemewa na kuridhia hoja ya Mhe. Raila ambayo ilibadili asilani sura ya itifaki ya viongozi hao wa kitaifa, hivyo washukiwa hao walisindikizwa na motorcade ya top brass toka Ikulu hadi JKIA na walipofika tu pale walinyang'anywa bendera zao, walinyang'anywa wapambe wao (wakapewa ulinzi wa kawaida) na kule The Hague hawakupokelewa kama Rais na kama Makamu Rais bali kama watu wa kawaida washukiwa wa mauaji ya halaiki, hivyo hawakukagua gwaride kule ughaibuni. Ila walipokanyanga tu ardhi ya Kenya pale JKIA walipokelewa kama viongozi wa kitaifa na kurudishiwa itifaki zote. Kwahiyo walipoenda The Hague walienda kama raia watuhumiwa hawakuenda kama viongozi (rais na makamu Rais), walilazimishwa na hoja ya Mhe. Raila (iliyopitishwa) kubakisha Urais wao na Umakamu Rais wao Kenya wanapoenda The Hague.

Wakati Mhe. Raila ameteuliwa na Katibu Mkuu wa UN kwenda kumshawishi Laurent Gbagbo (aliyeshindwa uchaguzi) aondoke Ikulu kumpisha Rais halali aliyeshinda uchaguzi Alassane Ouattara, Gbagbo alimtishia Raila kwamba ole wake akanyage nchi yake, atahakikisha ndege aliyopanda Raila inachakazwa vipande vipande na akitua salama ataishia jela ugenini, hivyo akamtaka Raila achague maisha au mauti, UN ilipopata habari hizo ika-cancel mpango huo, Raila akailaumu UN na kusema ANAENDA KIVYAKEVYAKE BILA KUTUMWA NA JUMUIYA YOYOTE YA KIMATAIFA NA AKAMWABIA GBAGBO MUDA ATAOTUA, FLIGHT No., HOTELI ATAYOLALA, MUDA ATAOINGIA IKULU, NA KUMTAKA GBAGBO KUANDAA MABEGI YAKE KUONDOKA IKULU, Gbagbo akashangaa ujasiri wa ina hii, kama mchezo, Raila akatua kama alivyopanga na akanyimwa kuingia Ikulu akasema hatoki nchi hiyo hadi Gbagbo ameondoka Ikulu, Gbagbo akalegea na kumruhusu Raila kuonana naye, message binafsi ya Raila haikubadilika mbele ya Gbagbo, akamwambia anazo siku 7 tu za kuondoka Ikulu kwa heshima kinyume chake mapinduzi na jela vinamhusu, akamwabia anaenda kumshawishi Alassane Ouattara aunde serikali akiwa ukimbizini na iendeshe Ivory Coast tokea ukimbizini. Ndani ya siku nne Gbagbo akatangaza majeshi kuondoka mitaani kurudi kambini na yeye anaondoka Ikulu. Raila alitangaza kwamba sasa yatosha Madespots kuendesha Afrika.

Mhe. Raila hana mfano duniani.
 
Back
Top Bottom