Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Al ahli 😂 au picha ya mangunguWe ulitaka hapo kwenye logo ya simba waweke logo ya timu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Al ahli 😂 au picha ya mangunguWe ulitaka hapo kwenye logo ya simba waweke logo ya timu gani?
Na hili bango huko boko litasababisha watu wajinyonge... Bora walishtaki kwa namna hiyo kwamba linatishia usalama wa akili za watu na linchochea migogoro ya nafsi kwa koloz.. itapelekea kujinyongaHichi kipigo kitawatesa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Potelea mbali.. bango liacheni hapohapo tegetaYoung African kuna vilaza, wameshindwa kung'amua kama GSM anatantanga bidhaa za 'Haier' kwenye Jezi za Young African za msimu huu, na timu haipati hata mia.
Ukiwauliza wanachama wanakwambia...
"Katangazo kenyewe ni kadogo"
"Tumuachie tuu"
Full vituko...
Hizi timu...zimejaa vilaza, wachache wajanja wanapiga pesa.