Tangazo lipo kwa hao wadhamini unao waona hapo mkuu pamoja na Yanga wenyewe. Wote wanakula mileage kubwa kwenye PRODUCT & CORPORATE BRANDING........Tangazo linavyozidi kutrend tunatengeneza customer awareness, watu wananufaika na Customer retention mwisho wa siku wanaongeza customers kupitia watu wanavyozidi kupata taarifa zao zaidi, inazipa hizo taasisi urahisi wa kupata majibu kuhusu CONSUMER BEHAVIOR, makampuni yanaweza kutumia kama njia ya kufanya Marketing Research .k
Ukigusa ADVERTISING & BRANDING na upande wa MARKETING unaweza kuona faida nyingi sana kwa walicho kifanya Yanga hapo. Ila ukiangalia kwa upande wa kishabiki basi unaweza ukahisi ni ushamba na upotezaji wa muda.
Ila kwenye Marketing wamewin parefu sana mkuu.
Sent from my SM-A107F using
JamiiForums mobile app