Hii kisheria ipoje? Simba haiwezi kutafuta tafsiri ya kisheria kwa Yanga kutumia Logo ya Simba kujinufaisha kibiashara?

Hii kisheria ipoje? Simba haiwezi kutafuta tafsiri ya kisheria kwa Yanga kutumia Logo ya Simba kujinufaisha kibiashara?

Naishauri timu yangu ya Wananchi, wajikite sasa kwenye maandalizi ya michezo ijayo. Huu mchezo ulishapita. Hivyo sioni sababu ya kuweka mabango, nk.

Hii itatufanya tuonekane kama tulibahatisha vile kuwafunga watani wetu zile goli 5. Tuonesheshe maturity bhana.
 
Eti b…
Kwani kuna shida yoyote kwenye hilo bango?
Mdakuzi
Huu utani wa mabango kwa watani wa jadi ni wa kawaida sana kule Manchester, England. Kwa Manchester United na Manchester City.

Lakini, katika mabango yote huwa sioni zikihusishwa nembo za timu. Nadhani kuna kitu huwa wanakwepa katika kutotumia nembo hizo.

Nembo ni alama inayokutambulisha katika wigo wa biashara, hivyo namna yoyote ya kutumia nembo ya mwingine kwa kuishushia hadhi inaweza kuleta malalamiko.

Ila nadhani Simba itapokea kama utani tu wa soka kama utani mwingine, na hili litapita bila ya mazingira ya kukomeshana.

Ova
 
Kama timu zote zilivyoweka matangazo ya mechi ya tarehe 5. Mshindi kaamua abandike matokea public.
 
Huu utani wa mabango kwa watani wa jadi ni wa kawaida sana kule Manchester, England. Kwa Manchester United na Manchester City.

Lakini, katika mabango yote huwa sioni zikihusishwa nembo za timu. Nadhani kuna kitu huwa wanakwepa katika kutotumia nembo hizo.

Nembo ni alama inayokutambulisha katika wigo wa biashara, hivyo namna yoyote ya kutumia nembo ya mwingine kwa kuishushia hadhi inaweza kuleta malalamiko.

Ila nadhani Simba itapokea kama utani tu wa soka kama utani mwingine, na hili litapita bila ya mazingira ya kukomeshana.

Ova
Bango ni juu ya matokeo ya mechi yetu na nyinyi vibonde wetu, hivyo hapo tungeweka nini ili ifahamike kwamba tumeifunga Simba goli 5?

Lakini umeongelea vizuri b… Walau wewe una akili hata sijui ilikuwaje ukawa kolo, taifa limepata hasara.
 
Naishauri timu yangu ya Wananchi, wajikite sasa kwenye maandalizi ya michezo ijayo. Huu mchezo ulishapita. Hivyo sioni sababu ya kuweka mabango, nk.

Hii itatufanya tuonekane kama tulibahatisha vile kuwafunga watani wetu zile goli 5. Tuonesheshe maturity bhana.
Umesahau mbumbumbu post yao kipindi wametufunga 5 ? au jiulize wao ndio wangekua wametufunga ingekuaje? by the way timu ipo Avic inajiandaa hizo zingine ni mbwembwe tu
 
Bango ni juu ya matokeo ya mechi yetu na nyinyi vibonde wetu, hivyo hapo tungeweka nini ili ifahamike kwamba tumeifunga Simba goli 5?

Lakini umeongelea vizuri b… Walau wewe una akili hata sijui ilikuwaje ukawa kolo, taifa limepata hasara.
Ilitakiwa Yanga ifanye makubaliano ya kimaandishi na huyo unayeitumia nembo yake kwenye bango lako, siyo kujiamulia tu.

Hata mwongozo wa Brela unaeleza kuwa, aliyeisajili nembo kwao ndiye mwenye haki ya kipekee ya kuitumia nembo aliyoisajili.

Ova
 
Hapa wengi hawajui sheria

1. Pamoja na kwamba Azamu Ndio haki ya Matangazo ya mpira; hana haki ya kutoa matokeo ya match moja tu kwenye Billboard. Kuna haki Sawa kwa match zote?

2. Kwa nini hawajatoa Matangazo ya aina Hii kwa match zote? Kutoa Tangazo la match Hii moja, nini dhamira kuu?

3. Ukiangalia Simba ni injured party kwa hili, kuwa hali ya Matangazo ya TV na radio ni Sawa Iła sio billboard

4. Kwa sababu wametumia logo nje ya utaratibu basi Simba ana Haki ya Kudali fidia

5. Yanga kaweka Tangazo la wadhamini wale albo sio wadhamini wa Simba
 
Ni biashara kubwa sana mkuu, kauli ya kusema kukumbushana (kama alivyosema Ali Kamwe) ni PSYCHOLOGICAL MANIPULATION tu ambapo unwillingly unajikuta unatoja nje ya hilo na kurise attention ya vingine kwenye hiyo billboard kama kinacho endelea kwa sasa mitandaoni.....Hilo ndilo lilikuwa lengo lao kubwa na wamefanikiwa.

MARKETING is MANIPULATIVE in nature mkuu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwani Alikamwe akiamua kupanda gari la matangazao lenye nembo ya Yanga, GSM na makampuni mengine yanayowafadhili yanga akachukua magaphone na kupita mitaani siku nzima hata wiki nzima akiwa anatangaza kuwa Yanga ilifunga Simba bao 5 kwa 1 litakuwa kosa?
 
Jidanganye hvyo yule mwanasheria wa yanga hajawahi kushinda hata kesi moja ni kilaza wa kupindukia.
😂😂Na yule injinia wa mchongo wa dit ambaye hajawahi hata kuunda kibito
Yangah imejaa viongozi vilazah
Mchek mooh na madigrii yake ya ulaya
 
Mtoto wa kiume unakua mmbea kama demu , taja idadi ya kesi amabazo kasha wahi kuzisimamia akashindwa au ndio u mbumbumbu
Una shida ya afya ya akili sasa ili tuendelee na mjadala kasome kitabu cha THE POWER OF HABITS AND HOW TO STOP WORRYING AND START LIVING maana sijaona sababu ya wewe kujibu kwa mihemko kitu cha kawaida kama hicho hili ni jukwaa la kufurahi na kubadilishana mawazo sio la matusi untakiwa upate tiba kwa Chris mauki au Aunt sadaka you're emotionally unstable you need to see psychiatrist.
 
[emoji23][emoji23]Na yule injinia wa mchongo wa dit ambaye hajawahi hata kuunda kibito
Yangah imejaa viongozi vilazah
Mchek mooh na madigrii yake ya ulaya
Mkuu yule mwanasheria wa yanga ni mweupe kama karatasi kashawaingiza yanga king mara kibao.
 
Ilitakiwa Yanga ifanye makubaliano ya kimaandishi na huyo unayeitumia nembo yake kwenye bango lako, siyo kujiamulia tu.

Hata mwongozo wa Brela unaeleza kuwa, aliyeisajili nembo kwao ndiye mwenye haki ya kipekee ya kuitumia nembo aliyoisajili.

Ova
Kwahiyo magazeti yanapoweka matokeo ya timu au fixture za mechi kwa kuweka nembo za timu, huwa wanachukuliwa hatua gani? Au hilo sio kosa?
 
Back
Top Bottom