Hii kisheria ipoje? Simba haiwezi kutafuta tafsiri ya kisheria kwa Yanga kutumia Logo ya Simba kujinufaisha kibiashara?

Hii kisheria ipoje? Simba haiwezi kutafuta tafsiri ya kisheria kwa Yanga kutumia Logo ya Simba kujinufaisha kibiashara?

Unateseka wewe kuweka mabango ya kishama unaingia gharama za kijinga na ukiburuzwa mahakamani unalipishwa billions of money. Kweli ushamba ni mzigo. Simba aliifunga Yanga 5-0 mbona hakuweka mabango? Mtahangaika sana mwaka huu
sasa si mfungue iyo kesi tuone mnavopata hizo billions mnasubiri nn??
 
Hii ndio logo ya Simba kuna tofuti ya rangi na hio ya kwenye bango ina rangi nyekundu
Simba_Sports_Club.jpg
 
Kwenye uzi wako kesi ambayo imetolewa hukumu ni ya Morrison tu hizo zingine tupe mrejesho ukiwa na evidence
Mlipigwa faini mbona unarudisha mambo nyuma Lucy aymel aliwapeleka FIFA akawagaragaza na mkalipa faini sasa lete mliyoshinda hata moja hapa na yule kilaza wenu.
 
Zile hazikutolewa maamuzi serikali iliingilia kati.
Ila kesi walishinda hawakushinda? au kitu gani kilimfanya Fei akate rufaa? Yule mwanasheria wa Morisson pamoja na Yule mmama,TFF walikuwa wanaenda kufanya nini?

Sasa uitaka maamuzi gani wakati TFF walishatoa kwamba wanautambua mkataba wa Yanga au kuna maamuzi mengine ambayo ulitaka wayafanye TFF?
 
Unasubiria kama Fisi? Maana yeye hawindi, anasubiria mizoga

Vifungu shughulisha ubongo wako
Hahaaaaa, mkombozi umeshababisha Michele kwa jinsi ulivyoruka kiunzi hoja ya jamaa. Anatakiwa ashughulishe fuvu lake sio?😀😀😀😀😀
 
Bango ni juu ya matokeo ya mechi yetu na nyinyi vibonde wetu, hivyo hapo tungeweka nini ili ifahamike kwamba tumeifunga Simba goli 5?

Lakini umeongelea vizuri b… Walau wewe una akili hata sijui ilikuwaje ukawa kolo, taifa limepata hasara.

Rage ameshalichukua na kwenda kuushauri uongozi.
Watu watapata elimu ya image right
IRC ( Image right contract ) hii kitu ukiisoma vzr inavyotumika ktk Soka raha sana
 
Simba mmepanic sana, hio ni picha ya matokeo, wala logo yenu haijatumika vibaya, ni mtu tu kaamua kutoa taarifa ya matokeo yenu
Wamevurugikiwa jmn[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]DOH Yanga wamewaweza asee
 
Ni wachache tunajua vitu kama hivi hongera sana, majority ya watu kwenye hizi nchi changa zimejaa uninformed customers both actual and potential customers, most purchases are done blindly, however this is the viral one but it has to be linked with a special theme, inaback pakubwa ni brand zaidi
Shukrani sana mkuu[emoji122]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom