Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Bado hausimamishi?Tumeifunga Simba Sports Club mabao 5 kwa 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hausimamishi?Tumeifunga Simba Sports Club mabao 5 kwa 1
Mwambie atembee na bahasha ya khaki,Umesema bado hujaajiriwa? Hii knowledge ni kubwa sana kutokufanyiwa kazi.
Mungu akusaidie upate ajira rasmi, na kama kuna watakaopita hapa wenye uhitaji mchukueni kijana yuko vizuri.
Nimekukubali sana 🙌🏾🙌🏾
Na ubishi wangu wote huu lakini mashine bado imelala,kama kuna dawa unaijua nisaidie mtani.Bado hausimamishi?
Huyo ni mbumbumbu mwenzakoHata huko Utopoloni Kuna vilaza hawawezi kung'amua, Kama GSM anatumia kampuni yake kutengeneza jezi za Uto na kuuza kwa elfu 32 huku Uto wanaambulia buku Moja na mia 3 na hawahoji chochote
Hakuna shila Ila ipo ni hio Yanga 5 Simba 1
Nifah punguza ukali wa maneno basiKoma wee mi mke wa mtu nampenda mume wangu.
Ndio Al Ahly watafungwa na matokeo yatawekwa lile bango la million 5 acha hilo la million 3Sipati picha siku Yanga akamfunga Al ahly japo goli moja sijui itakuwaje uku mtaani
Akili kiaziWachache watakuelewa ila mimi nimekuelewa,simba wanaweza kudai fidia ya mamilioni na wakashinda kesi asubuhi tu
Wangechora Kichwa cha Mnyama toshaaaWe ulitaka hapo kwenye logo ya simba waweke logo ya timu gani?
Nipe tu kidogo nishtue mpiniKoma wee mi mke wa mtu nampenda mume wangu.
Tunawasamehe bure ile supu ya vibudu yenye kimeta imewaathiri akili
Simba imejaa mambumbumbu, haya daini pesa na wenye magazeti wanauza magazeti na nembo yenu IPO, daini mgao wa mauzo.
Tueleze utajili wa Simba INA assets zipi, utajili wa Mo Dewji ni wa familia yake, Simba haiusiki.Yangah ni timu masikini
Waache wapate visenti kupitia timu tajiri Simba
Timu Ina ofisi bondeni,ni timu hiyo?😂
kipindi Al Ahly anakandwa ulikua bado upo kwenu huko sangabuye?Sipati picha siku Yanga akamfunga Al ahly japo goli moja sijui itakuwaje uku mtaani
Jidanganye hvyo yule mwanasheria wa yanga hajawahi kushinda hata kesi moja ni kilaza wa kupindukia.Simba Kuna vilaza hawawezi kung'amua, Kama mo anatumia kampuni yake kutengeneza khanga za Simba na kuuza huku Simba hawapati hata Senti tano wataweza kuhoji kuhusu logo yao kutumika kwenye mabango
.