Hii kisheria ipoje? Simba haiwezi kutafuta tafsiri ya kisheria kwa Yanga kutumia Logo ya Simba kujinufaisha kibiashara?

Wachache watakuelewa ila mimi nimekuelewa,simba wanaweza kudai fidia ya mamilioni na wakashinda kesi asubuhi tu
Angalia juu kule wewe kilaza kuna NBC kuna Sportpesa, jiulize hao wawili ni nani sio unazungusha chini tu, tumia ubongo wako vizuri
 
To cut a story short. .....Hakuna ishu yoyote hapo mkuu na kama kweli Simba watachukulia hilo jambo siriasi basi uongozi utajidhalilisha tu UNLESS kama wameamua kuzusha agenda ili kuwablind watu wasahau kuwakamia viongozi kutokana na hili SAGA linalo endelea.

Nimetoa hayo maoni as a PRM (Public Relation(s) Manager) kwa kutumia Knowledge ya CORPORATE BRANDING......Japo bado unemployed [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

Yanga inatangaza biashara gani kwenye hilo bango?
Tangazo lipo kwa hao wadhamini unao waona hapo mkuu pamoja na Yanga wenyewe. Wote wanakula mileage kubwa kwenye PRODUCT & CORPORATE BRANDING........Tangazo linavyozidi kutrend tunatengeneza customer awareness, watu wananufaika na Customer retention mwisho wa siku wanaongeza customers kupitia watu wanavyozidi kupata taarifa zao zaidi, inazipa hizo taasisi urahisi wa kupata majibu kuhusu CONSUMER BEHAVIOR, makampuni yanaweza kutumia kama njia ya kufanya Marketing Research .k

Ukigusa ADVERTISING & BRANDING na upande wa MARKETING unaweza kuona faida nyingi sana kwa walicho kifanya Yanga hapo. Ila ukiangalia kwa upande wa kishabiki basi unaweza ukahisi ni ushamba na upotezaji wa muda.

Ila kwenye Marketing wamewin parefu sana mkuu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hilo siyo Tangazo la biashara bali na kukumbashana tu yaliyotokea kweli tarehe tano November.
Ni biashara kubwa sana mkuu, kauli ya kusema kukumbushana (kama alivyosema Ali Kamwe) ni PSYCHOLOGICAL MANIPULATION tu ambapo unwillingly unajikuta unatoja nje ya hilo na kurise attention ya vingine kwenye hiyo billboard kama kinacho endelea kwa sasa mitandaoni.....Hilo ndilo lilikuwa lengo lao kubwa na wamefanikiwa.

MARKETING is MANIPULATIVE in nature mkuu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Simba Kuna vilaza hawawezi kung'amua, Kama mo anatumia kampuni yake kutengeneza khanga za Simba na kuuza huku Simba hawapati hata Senti tano wataweza kuhoji kuhusu logo yao kutumika kwenye mabango
.

Hata huko Utopoloni Kuna vilaza hawawezi kung'amua, Kama GSM anatumia kampuni yake kutengeneza jezi za Uto na kuuza kwa elfu 32 huku Uto wanaambulia buku Moja na mia 3 na hawahoji chochote
 
Tangazo lipo kwa hao wadhamini unao waona hapo mkuu pamoja na Yanga wenyewe. Wote wanakula mileage kubwa kwenye PRODUCT & CORPORATE BRANDING........Tangazo linavyozidi kutrend tunatengeneza customer awareness, watu wananufaika na Customer retention mwisho wa siku wanaongeza customers kupitia watu wanavyozidi kupata taarifa zao zaidi, inazipa hizo taasisi urahisi wa kupata majibu kuhusu CONSUMER BEHAVIOR, makampuni yanaweza kutumia kama njia ya kufanya Marketing Research .k

Ukigusa ADVERTISING & BRANDING na upande wa MARKETING unaweza kuona faida nyingi sana kwa walicho kifanya Yanga hapo. Ila ukiangalia kwa upande wa kishabiki basi unaweza ukahisi ni ushamba na upotezaji wa muda.

Ila kwenye Marketing wamewin parefu sana mkuu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kama ni hivyo basi hata 5imba imetangazwa kwa kuwekwa logo yake hivyo nayo inanufaika kama hao wengine.
 
Tangazo lipo kwa hao wadhamini unao waona hapo mkuu pamoja na Yanga wenyewe. Wote wanakula mileage kubwa kwenye PRODUCT & CORPORATE BRANDING........Tangazo linavyozidi kutrend tunatengeneza customer awareness, watu wananufaika na Customer retention mwisho wa siku wanaongeza customers kupitia watu wanavyozidi kupata taarifa zao zaidi, inazipa hizo taasisi urahisi wa kupata majibu kuhusu CONSUMER BEHAVIOR, makampuni yanaweza kutumia kama njia ya kufanya Marketing Research .k

Ukigusa ADVERTISING & BRANDING na upande wa MARKETING unaweza kuona faida nyingi sana kwa walicho kifanya Yanga hapo. Ila ukiangalia kwa upande wa kishabiki basi unaweza ukahisi ni ushamba na upotezaji wa muda.

Ila kwenye Marketing wamewin parefu sana mkuu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Umesema bado hujaajiriwa? Hii knowledge ni kubwa sana kutokufanyiwa kazi.

Mungu akusaidie upate ajira rasmi, na kama kuna watakaopita hapa wenye uhitaji mchukueni kijana yuko vizuri.
Nimekukubali sana 🙌🏾🙌🏾
 
Back
Top Bottom