Mtani wa Taifa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2023
- 953
- 3,318
Sisi tumeikanda Simba lazima logo yenu ikae hapoWamuweke Mangungu au Mo,
Yaan Yanga 5 Mo 1 au Yanga 5 Mangungu 1, hivyo yaan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tumeikanda Simba lazima logo yenu ikae hapoWamuweke Mangungu au Mo,
Yaan Yanga 5 Mo 1 au Yanga 5 Mangungu 1, hivyo yaan
Hapo kwenye Simba na logo ondoa weka Mangungu,Sisi tumeikanda Simba lazima logo yenu ikae hapo
Wachache watakuelewa ila mimi nimekuelewa,simba wanaweza kudai fidia ya mamilioni na wakashinda kesi asubuhi tu
Angalia juu kule wewe kilaza kuna NBC kuna Sportpesa, jiulize hao wawili ni nani sio unazungusha chini tu, tumia ubongo wako vizuriWachache watakuelewa ila mimi nimekuelewa,simba wanaweza kudai fidia ya mamilioni na wakashinda kesi asubuhi tu
Bango linatakiwa liseme hivi nisome mimi nisome mimi halafu ninunue mimi ninunue mimiYanga inatangaza biashara gani kwenye hilo bango?
Hilo siyo Tangazo la biashara bali na kukumbashana tu yaliyotokea kweli tarehe tano November.
Hichi kipigo kitawatesa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tangazo lipo kwa hao wadhamini unao waona hapo mkuu pamoja na Yanga wenyewe. Wote wanakula mileage kubwa kwenye PRODUCT & CORPORATE BRANDING........Tangazo linavyozidi kutrend tunatengeneza customer awareness, watu wananufaika na Customer retention mwisho wa siku wanaongeza customers kupitia watu wanavyozidi kupata taarifa zao zaidi, inazipa hizo taasisi urahisi wa kupata majibu kuhusu CONSUMER BEHAVIOR, makampuni yanaweza kutumia kama njia ya kufanya Marketing Research .kYanga inatangaza biashara gani kwenye hilo bango?
Hapo yanga kafanya biashara gani?
Ni biashara kubwa sana mkuu, kauli ya kusema kukumbushana (kama alivyosema Ali Kamwe) ni PSYCHOLOGICAL MANIPULATION tu ambapo unwillingly unajikuta unatoja nje ya hilo na kurise attention ya vingine kwenye hiyo billboard kama kinacho endelea kwa sasa mitandaoni.....Hilo ndilo lilikuwa lengo lao kubwa na wamefanikiwa.Hilo siyo Tangazo la biashara bali na kukumbashana tu yaliyotokea kweli tarehe tano November.
Simba Kuna vilaza hawawezi kung'amua, Kama mo anatumia kampuni yake kutengeneza khanga za Simba na kuuza huku Simba hawapati hata Senti tano wataweza kuhoji kuhusu logo yao kutumika kwenye mabango
.
Akili matope ni zako maana huelewi hata hoja iliyopo ndio maana tulisema Eymael alikuwa sahihi Hadi FIFA wakasema alipwe.Kwahiyo 5G walicheza na timu gani?
Akili matope
Hilo tatizo lipo timu zoteHata huko Utopoloni Kuna vilaza hawawezi kung'amua, Kama GSM anatumia kampuni yake kutengeneza jezi za Uto na kuuza kwa elfu 32 huku Uto wanaambulia buku Moja na mia 3 na hawahoji chochote
Sisi hatujamfunga mangungu lakiniHapo kwenye Simba na logo ondoa weka Mangungu,
Tumemfunga nani?Sisi hatujamfunga mangungu lakini
Kama ni hivyo basi hata 5imba imetangazwa kwa kuwekwa logo yake hivyo nayo inanufaika kama hao wengine.Tangazo lipo kwa hao wadhamini unao waona hapo mkuu pamoja na Yanga wenyewe. Wote wanakula mileage kubwa kwenye PRODUCT & CORPORATE BRANDING........Tangazo linavyozidi kutrend tunatengeneza customer awareness, watu wananufaika na Customer retention mwisho wa siku wanaongeza customers kupitia watu wanavyozidi kupata taarifa zao zaidi, inazipa hizo taasisi urahisi wa kupata majibu kuhusu CONSUMER BEHAVIOR, makampuni yanaweza kutumia kama njia ya kufanya Marketing Research .k
Ukigusa ADVERTISING & BRANDING na upande wa MARKETING unaweza kuona faida nyingi sana kwa walicho kifanya Yanga hapo. Ila ukiangalia kwa upande wa kishabiki basi unaweza ukahisi ni ushamba na upotezaji wa muda.
Ila kwenye Marketing wamewin parefu sana mkuu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Tumeifunga Simba Sports Club mabao 5 kwa 1Tumemfunga nani?
Huoni kama Simba wametangazwa hapo?Wachache watakuelewa ila mimi nimekuelewa,simba wanaweza kudai fidia ya mamilioni na wakashinda kesi asubuhi tu
Umesema bado hujaajiriwa? Hii knowledge ni kubwa sana kutokufanyiwa kazi.Tangazo lipo kwa hao wadhamini unao waona hapo mkuu pamoja na Yanga wenyewe. Wote wanakula mileage kubwa kwenye PRODUCT & CORPORATE BRANDING........Tangazo linavyozidi kutrend tunatengeneza customer awareness, watu wananufaika na Customer retention mwisho wa siku wanaongeza customers kupitia watu wanavyozidi kupata taarifa zao zaidi, inazipa hizo taasisi urahisi wa kupata majibu kuhusu CONSUMER BEHAVIOR, makampuni yanaweza kutumia kama njia ya kufanya Marketing Research .k
Ukigusa ADVERTISING & BRANDING na upande wa MARKETING unaweza kuona faida nyingi sana kwa walicho kifanya Yanga hapo. Ila ukiangalia kwa upande wa kishabiki basi unaweza ukahisi ni ushamba na upotezaji wa muda.
Ila kwenye Marketing wamewin parefu sana mkuu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app