Young African kuna vilaza, wameshindwa kung'amua kama GSM anatantanga bidhaa za 'Haier' kwenye Jezi za Young African za msimu huu, na timu haipati hata mia.
Ukiwauliza wanachama wanakwambia...
"Katangazo kenyewe ni kadogo"
"Tumuachie tuu"
Full vituko...
Hizi timu...zimejaa vilaza, wachache wajanja wanapiga pesa.