Hii kolablo ya Mpina na Gwajima ni kitisho kwa CCM maslahi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Mkutano mkuu wa ccm unaendelea mjini Dodoma yaliko makao makuu ya Taifa la Tanganyika
Ni mkutano wenye agenda nyingi.. Nyingine ni tete na pengine zinaweza kuzimwa ama kujadiliwa kwa tahadhari kubwa sana... Kwasababu huu ni mwaka wa uchaguzi na ccm iko kwenye shaka kubwa kutokana na mambo matatu makubwa

1. Mkakati na kampeni ya CHADEMA kuzuia uchaguzi mkuu kupitia NO REFORMS NO ELECTION
2. Kushinda uchaguzi kama utafanyika kwa uwazi, kwa uhuru na kwa haki
3. Kizungumkuti cha mgombea.. Huyu wa sasa kwa jinsi alivyochafuka ndani na nje ya nchi je atafaa? Au watafute mbadala? Nani?

Katikati ya agenda hizi na mtanziko wa namna ya kwenda nazo.. Siku chache kabisa kabla ya huu mkutano ukatiwa doa kubwa na makemeo ya mmoja wa makada wake kuhusu utekaji nchini na tenguatengua ya wakuu wa vyombo vya ulinzi

Kada huyu maarufu si mwingine bali ni mchungaji Gwajima na mbunge ambaye alipata upinzani mkubwa toka kwa makada wengine wakubwa na wadogo isipokuwa mmoja tuu ambaye aliungana naye.

Aliyeungana naye si mwingine bali ni Luhaga Mpina mbunge pia na aliyewahi kushika nyazifa mbalimbali ndani ya chama na serikalini
Hawa wawili wanachukuliwa kama makada watukutu na wakorofi ndani ya chama wasioogopa kusema chochote kwenye kukosoa utendani ndani ya chama na serikali kwa ujumla

Kolabo yao kwenye hili ni mtanziko mpya ndani ya mkutano mkuu, ambapo sasa inabidi iwepo agenda ya dharura kuwahusu.. Mbaya zaidi wana nguvu kanda yq ziwa na wanahesabiwa kama sehemu ya SKMG
 
Gwajima na Mpina walichosema ni "Mama acha kuua kupiga kubaka na kutesa Binadamu wenzako" lakini kwa lugha ya kiutu uzima.

Cha ajabu badala ya kusikiliza ushauri anatuma Machawa wake na vilaza waliobobea kama akina Steve Nyenyere.
 
Mkutano mkuu wa ccm unaendelea mjini Dodoma yaliko makao makuu ya Taifa la Tanganyika
Ni mkutano wenye agenda nyingi.. Nyingine ni tete na pengine zinaweza kuzimwa ama kujadiliwa kwa tahadhari kubwa sana... Kwasababu huu ni mwaka wa uchaguzi na ccm iko kwenye shaka kubwa kutokana na mambo matatu makubwa

1. Mkakati na kampeni ya CHADEMA kuzuia uchaguzi mkuu kupitia NO REFORMS NO ELECTION
2. Kushinda uchaguzi kama utafanyika kwa uwazi, kwa uhuru na kwa haki
3. Kizungumkuti cha mgombea.. Huyu wa sasa kwa jinsi alivyochafuka ndani na nje ya nchi je atafaa? Au watafute mbadala? Nani?

Katikati ya agenda hizi na mtanziko wa namna ya kwenda nazo.. Siku chache kabisa kabla ya huu mkutano ukatiwa doa kubwa na makemeo ya mmoja wa makada wake kuhusu utekaji nchini na tenguatengua ya wakuu wa vyombo vya ulinzi

Kada huyu maarufu si mwingine bali ni mchungaji Gwajima na mbunge ambaye alipata upinzani mkubwa toka kwa makada wengine wakubwa na wadogo isipokuwa mmoja tuu ambaye aliungana naye.

Aliyeungana naye si mwingine bali ni Luhaga Mpina mbunge pia na aliyewahi kushika nyazifa mbalimbali ndani ya chama na serikalini
Hawa wawili wanachukuliwa kama makada watukutu na wakorofi ndani ya chama wasioogopa kusema chochote kwenye kukosoa utendani ndani ya chama na serikali kwa ujumla

Kolabo yao kwenye hili ni mtanziko mpya ndani ya mkutano mkuu, ambapo sasa inabidi iwepo agenda ya dharura kuwahusu.. Mbaya zaidi wana nguvu kanda yq ziwa na wanahesabiwa kama sehemu ya SKMG
Halafu humohumo kwenye mkutano kuna mjumbe aliwaambia za kuambiwa wachanganye na za kwao, lakini kuna siku amewaambia jambo wakasahau kuchanganya na za kwao
 
Back
Top Bottom