Ujasiri wa kulifungia Kanisa wameutoa wapi?Mkutano mkuu wa ccm unaendelea mjini Dodoma yaliko makao makuu ya Taifa la Tanganyika
Ni mkutano wenye agenda nyingi.. Nyingine ni tete na pengine zinaweza kuzimwa ama kujadiliwa kwa tahadhari kubwa sana... Kwasababu huu ni mwaka wa uchaguzi na ccm iko kwenye shaka kubwa kutokana na mambo matatu makubwa
1. Mkakati na kampeni ya CHADEMA kuzuia uchaguzi mkuu kupitia NO REFORMS NO ELECTION
2. Kushinda uchaguzi kama utafanyika kwa uwazi, kwa uhuru na kwa haki
3. Kizungumkuti cha mgombea.. Huyu wa sasa kwa jinsi alivyochafuka ndani na nje ya nchi je atafaa? Au watafute mbadala? Nani?
Katikati ya agenda hizi na mtanziko wa namna ya kwenda nazo.. Siku chache kabisa kabla ya huu mkutano ukatiwa doa kubwa na makemeo ya mmoja wa makada wake kuhusu utekaji nchini na tenguatengua ya wakuu wa vyombo vya ulinzi
Kada huyu maarufu si mwingine bali ni mchungaji Gwajima na mbunge ambaye alipata upinzani mkubwa toka kwa makada wengine wakubwa na wadogo isipokuwa mmoja tuu ambaye aliungana naye.
Aliyeungana naye si mwingine bali ni Luhaga Mpina mbunge pia na aliyewahi kushika nyazifa mbalimbali ndani ya chama na serikalini
Hawa wawili wanachukuliwa kama makada watukutu na wakorofi ndani ya chama wasioogopa kusema chochote kwenye kukosoa utendani ndani ya chama na serikali kwa ujumla
Kolabo yao kwenye hili ni mtanziko mpya ndani ya mkutano mkuu, ambapo sasa inabidi iwepo agenda ya dharura kuwahusu.. Mbaya zaidi wana nguvu kanda yq ziwa na wanahesabiwa kama sehemu ya SKMG
Huyo Mpina amefungua kesi tatu za kuishitaki serikali kule bungeni na ameshindwa zote!. Alijaribu kupinga uwekezaji wa DP World pale bandarini leo hii manufaa yanaonekana mbele ya macho yake.Mkutano mkuu wa ccm unaendelea mjini Dodoma yaliko makao makuu ya Taifa la Tanganyika
Ni mkutano wenye agenda nyingi.. Nyingine ni tete na pengine zinaweza kuzimwa ama kujadiliwa kwa tahadhari kubwa sana... Kwasababu huu ni mwaka wa uchaguzi na ccm iko kwenye shaka kubwa kutokana na mambo matatu makubwa
1. Mkakati na kampeni ya CHADEMA kuzuia uchaguzi mkuu kupitia NO REFORMS NO ELECTION
2. Kushinda uchaguzi kama utafanyika kwa uwazi, kwa uhuru na kwa haki
3. Kizungumkuti cha mgombea.. Huyu wa sasa kwa jinsi alivyochafuka ndani na nje ya nchi je atafaa? Au watafute mbadala? Nani?
Katikati ya agenda hizi na mtanziko wa namna ya kwenda nazo.. Siku chache kabisa kabla ya huu mkutano ukatiwa doa kubwa na makemeo ya mmoja wa makada wake kuhusu utekaji nchini na tenguatengua ya wakuu wa vyombo vya ulinzi
Kada huyu maarufu si mwingine bali ni mchungaji Gwajima na mbunge ambaye alipata upinzani mkubwa toka kwa makada wengine wakubwa na wadogo isipokuwa mmoja tuu ambaye aliungana naye.
Aliyeungana naye si mwingine bali ni Luhaga Mpina mbunge pia na aliyewahi kushika nyazifa mbalimbali ndani ya chama na serikalini
Hawa wawili wanachukuliwa kama makada watukutu na wakorofi ndani ya chama wasioogopa kusema chochote kwenye kukosoa utendani ndani ya chama na serikali kwa ujumla
Kolabo yao kwenye hili ni mtanziko mpya ndani ya mkutano mkuu, ambapo sasa inabidi iwepo agenda ya dharura kuwahusu.. Mbaya zaidi wana nguvu kanda yq ziwa na wanahesabiwa kama sehemu ya SKMG
CCM Ina Dola itatishika na nyau gani? Wakaungane Sasa 😂😂Mkutano mkuu wa ccm unaendelea mjini Dodoma yaliko makao makuu ya Taifa la Tanganyika
Ni mkutano wenye agenda nyingi.. Nyingine ni tete na pengine zinaweza kuzimwa ama kujadiliwa kwa tahadhari kubwa sana... Kwasababu huu ni mwaka wa uchaguzi na ccm iko kwenye shaka kubwa kutokana na mambo matatu makubwa
1. Mkakati na kampeni ya CHADEMA kuzuia uchaguzi mkuu kupitia NO REFORMS NO ELECTION
2. Kushinda uchaguzi kama utafanyika kwa uwazi, kwa uhuru na kwa haki
3. Kizungumkuti cha mgombea.. Huyu wa sasa kwa jinsi alivyochafuka ndani na nje ya nchi je atafaa? Au watafute mbadala? Nani?
Katikati ya agenda hizi na mtanziko wa namna ya kwenda nazo.. Siku chache kabisa kabla ya huu mkutano ukatiwa doa kubwa na makemeo ya mmoja wa makada wake kuhusu utekaji nchini na tenguatengua ya wakuu wa vyombo vya ulinzi
Kada huyu maarufu si mwingine bali ni mchungaji Gwajima na mbunge ambaye alipata upinzani mkubwa toka kwa makada wengine wakubwa na wadogo isipokuwa mmoja tuu ambaye aliungana naye.
Aliyeungana naye si mwingine bali ni Luhaga Mpina mbunge pia na aliyewahi kushika nyazifa mbalimbali ndani ya chama na serikalini
Hawa wawili wanachukuliwa kama makada watukutu na wakorofi ndani ya chama wasioogopa kusema chochote kwenye kukosoa utendani ndani ya chama na serikali kwa ujumla
Kolabo yao kwenye hili ni mtanziko mpya ndani ya mkutano mkuu, ambapo sasa inabidi iwepo agenda ya dharura kuwahusu.. Mbaya zaidi wana nguvu kanda yq ziwa na wanahesabiwa kama sehemu ya SKMG
Huyo mbadala mngemuandaa kwa ajili ya uchaguzi wa 2030 huu wa mwaka huu Samia anatosha sana, keshafanya mengi ya maana kuliko hizi harakati zenu za kipuuzi za kuitumia dini kuleta chokochoko.Hilo pekee ni jambo zito sana kwa chama hicho.
Huyu aliye chafuka anashikiliwa na Genge, lililokinyakuwa chama cha CCM kuwa chombo cha kufanyia uchafu.
Hili Genge ni la waimba "AMANI" (kwa upana wake wote - nataka unielewe kwa maana hiyo).
Wengine tayari wamejiapiza, wapo tayari "kupoteza maisha yao kulinda AMANI". AMANI isiyo ambatana na HAKI!.
Kwa hiyo usifikiri kuna kazi ndogo hapa ya "kumtafuta mbadala".
Watu wanapo amua kuuwa wenzao kwa sababu tu ya mtu mmoja abaki madarakani; usifikiri hapo kuna kazi rahisi.
Naomba usinielewe vibaya. Sisemi kamwe kwamba Kundi "AMANI na HAKI", ndani ya chama hicho ni wepesi wepesi tu. Lakini inatakiwa na wao wajizatiti kikwelikweli kukiokoa chama chao toka kwenye makucha ya hawa watekaji na wauaji wa waTanzania.
Hebu tuupe muda wakati ni hakimu wa kweliHuyo Mpina amefungua kesi tatu za kuishitaki serikali kule bungeni na ameshindwa zote!. Alijaribu kupinga uwekezaji wa DP World pale bandarini leo hii manufaa yanaonekana mbele ya macho yake.
Taifa limeshapitia misukosuko mingi na hili suala la Gwajima litapita tu, ni upepo mbaya unaokatiza.
Vipi kuhusu utekaji na kesi za kisiasa za kubambikaHuyo mbadala mngemuandaa kwa ajili ya uchaguzi wa 2030 huu wa mwaka huu Samia anatosha sana, keshafanya mengi ya maana kuliko hizi harakati zenu za kipuuzi za kuitumia dini kuleta chokochoko.
Stori hizo ndio mlikuwa mnamdanganya yule kibaraka wenu saizi Yuko jela huko na hakuna mnachomsaidia 😂😂👇👇Tulia wewe ndio kwanza kumepambazuka.. Subiri machweo
Mkuu naomba urekebishe neno la kwanza kwenye namba mbili.Mkutano mkuu wa ccm unaendelea mjini Dodoma yaliko makao makuu ya Taifa la Tanganyika
Ni mkutano wenye agenda nyingi.. Nyingine ni tete na pengine zinaweza kuzimwa ama kujadiliwa kwa tahadhari kubwa sana... Kwasababu huu ni mwaka wa uchaguzi na ccm iko kwenye shaka kubwa kutokana na mambo matatu makubwa
1. Mkakati na kampeni ya CHADEMA kuzuia uchaguzi mkuu kupitia NO REFORMS NO ELECTION
2. Kushinda uchaguzi kama utafanyika kwa uwazi, kwa uhuru na kwa haki
3. Kizungumkuti cha mgombea.. Huyu wa sasa kwa jinsi alivyochafuka ndani na nje ya nchi je atafaa? Au watafute mbadala? Nani?
Katikati ya agenda hizi na mtanziko wa namna ya kwenda nazo.. Siku chache kabisa kabla ya huu mkutano ukatiwa doa kubwa na makemeo ya mmoja wa makada wake kuhusu utekaji nchini na tenguatengua ya wakuu wa vyombo vya ulinzi
Kada huyu maarufu si mwingine bali ni mchungaji Gwajima na mbunge ambaye alipata upinzani mkubwa toka kwa makada wengine wakubwa na wadogo isipokuwa mmoja tuu ambaye aliungana naye.
Aliyeungana naye si mwingine bali ni Luhaga Mpina mbunge pia na aliyewahi kushika nyazifa mbalimbali ndani ya chama na serikalini
Hawa wawili wanachukuliwa kama makada watukutu na wakorofi ndani ya chama wasioogopa kusema chochote kwenye kukosoa utendani ndani ya chama na serikali kwa ujumla
Kolabo yao kwenye hili ni mtanziko mpya ndani ya mkutano mkuu, ambapo sasa inabidi iwepo agenda ya dharura kuwahusu.. Mbaya zaidi wana nguvu kanda yq ziwa na wanahesabiwa kama sehemu ya SKMG
Wanatekwa mpaka matajiri kwa masuala yao ya kudhulumiana, sio wanaharakati peke yao.Vipi kuhusu utekaji na kesi za kisiasa za kubambika
Stori hizo ndio mlikuwa mnamdanganya yule kibaraka wenu saizi Yuko jela huko na hakuna mnachomsaidia 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DKbiJUyMCxk/?igsh=eXBueHp1bTJzMnlo
Wengi tu, dunia nzima kumejaa kuoneana na kudhulumiana. Tunahitaji kuongeza uwezo wa upelelezi wetu una haki ya kuongezewa tija yake ili tupunguze kunyosheana vidole.Wataje
Mbada ni chama pinzani wapewe japo kidogo"Kizungumkuti cha mgombea.. Huyu wa sasa kwa jinsi alivyochafuka ndani na nje ya nchi je atafaa? Au watafute mbadala"? Nani
Kwa maslahi ya nchi atafutwe mbadala tu
Nani" katumia dini kuleta chokochok" Hivi hapo ulipo wewe unadhani unazo sifa za kuwa hapo bila ya hiyo dini inayokupa msukumo wa kulisigina taifa letu?Huyo mbadala mngemuandaa kwa ajili ya uchaguzi wa 2030 huu wa mwaka huu Samia anatosha sana, keshafanya mengi ya maana kuliko hizi harakati zenu za kipuuzi za kuitumia dini kuleta chokochoko.
Kwa hii mikwara unayoitoa huku jina lako halisi umelificha, ni ndoto kwa CCM kutoka madarakani haswa kwa kelele za kitoto zinazopigwa kupitia maandishi ya humu JF.Nani" katumia dini kuleta chokochok" Hivi hapo ulipo wewe unadhani unazo sifa za kuwa hapo bila ya hiyo dini inayokupa msukumo wa kulisigina taifa letu?
Samia hana njia tena ya kuendelea kushika nafasi hiyo. Lililobaki sasa ni ama atoke kwa usalama, au kwa shari.
Unataka jina ili uniteke na kuniua? Mbona wewe unajificha chini ya jina bandia la dini usiyo husika nayo kabisa. Unaweza kueleza kwa nini unafanya hivyo, kama siyo nia ovu?Kwa hii mikwara unayoitoa huku jina lako halisi umelificha, ni ndoto kwa CCM kutoka madarakani haswa kwa kelele za kitoto zinazopigwa kupitia maandishi ya humu JF.