magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 14,029
- 34,441
🤣🤣🤣🤣🤣Aibu naona mimi.
🤣🤣🤣🤣🤣Aibu naona mimi.
It’s called ‘dynamics of politics’, hakuna cha kushangaza baada ya Sukuma Gang kuamua kuhamia upande wa wananchi.Mambo yanabadilika kwa kasi, leo hii sukuma gang wanaonekana wakombozi.😁
Mimi ni mwana CCM japokuwa si mjumbe wa mkutano unaoendelea ila nachukizwa sana na yanayoendelea na nina imani hata miongoni mwa wajumbe wanaojielewa wanachukia pia. Kumetengenezwa CCM ya ajabu sijawahi kuiona toka izaliwe, isiyosikiliza wananchi, isiyolia na shida za wananchi, isiyojishughulisha na matatizo ya wananchi. CCM ninayoijua inatabia ya kujisafisha hasa nyakati hizi ila hii sioni dalili za kufanya hivyo. Kusemakweli tuna CCM kiziwi kuwahi kutokea, na hiki kiziwi kina sababu yake. Nyakati hizi tutegemee maazimio ya kujisafisha kama kawaida. Binafsi nisipoona mpango madhubuti wa chama kushughulikia utekaji najiondoa rasmi CCM.Hilo pekee ni jambo zito sana kwa chama hicho.
Huyu aliye chafuka anashikiliwa na Genge, lililokinyakuwa chama cha CCM kuwa chombo cha kufanyia uchafu.
Hili Genge ni la waimba "AMANI" (kwa upana wake wote - nataka unielewe kwa maana hiyo).
Wengine tayari wamejiapiza, wapo tayari "kupoteza maisha yao kulinda AMANI". AMANI isiyo ambatana na HAKI!.
Kwa hiyo usifikiri kuna kazi ndogo hapa ya "kumtafuta mbadala".
Watu wanapo amua kuuwa wenzao kwa sababu tu ya mtu mmoja abaki madarakani; usifikiri hapo kuna kazi rahisi.
Naomba usinielewe vibaya. Sisemi kamwe kwamba Kundi "AMANI na HAKI", ndani ya chama hicho ni wepesi wepesi tu. Lakini inatakiwa na wao wajizatiti kikwelikweli kukiokoa chama chao toka kwenye makucha ya hawa watekaji na wauaji wa waTanzania.
Sitakujibu wakati huu kwa haraka haraka, kwa sababu mchango wako huu unahitaji kuchangiwa kwa utulivu kabisa. Hili ni swala la nchi yetu, siyo swala la nyinyi wanaCCM peke yenu.Mimi ni mwana CCM japokuwa si mjumbe wa mkutano unaoendelea ila nachukizwa sana na yanayoendelea na nina imani hata miongoni mwa wajumbe wanaojielewa wanachukia pia. Kumetengenezwa CCM ya ajabu sijawahi kuiona toka izaliwe, isiyosikiliza wananchi, isiyolia na shida za wananchi, isiyojishughulisha na matatizo ya wananchi. CCM ninayoijua inatabia ya kujisafisha hasa nyakati hizi ila hii sioni dalili za kufanya hivyo. Kusemakweli tuna CCM kiziwi kuwahi kutokea, na hiki kiziwi kina sababu yake. Nyakati hizi tutegemee maazimio ya kujisafisha kama kawaida. Binafsi nisipoona mpango madhubuti wa chama kushughulikia utekaji najiondoa rasmi CCM.
Haya maneno Luhaga Mpina kayaongelea wapi, Bungeni?"Hata mahala palipoharibika, mnapongezana. Watu wanatekwa, nyinyi mnapongezana. wananchi wanatekwa.. anatekwa mwananchi wa kwanza, anatekwa wa pili, wa tatu, anatekwa mwananchi wa 80, bado waziri wa mambo ya ndani yuko ofisini!!" alihoji Mpina
Miaka 5 nyuma walikuwa hawashikiki na huwaambii kituMambo yanabadilika kwa kasi, leo hii sukuma gang wanaonekana wakombozi.😁
Mama akamatwe tu na kulazimishwa kuachana na urais maana anajihaibisha mno. Watu wanatekwa na kuuliwa huku yeye akiwa kimya tu kana kwamba anafuiahia. Pia wane na suluhisho la katibi mpya kwani tunataka kuwashikisha adabu marais waliopita pamoja na viongozi wapuuzi walio wezi.Mkutano mkuu wa ccm unaendelea mjini Dodoma yaliko makao makuu ya Taifa la Tanganyika
Ni mkutano wenye agenda nyingi.. Nyingine ni tete na pengine zinaweza kuzimwa ama kujadiliwa kwa tahadhari kubwa sana... Kwasababu huu ni mwaka wa uchaguzi na ccm iko kwenye shaka kubwa kutokana na mambo matatu makubwa
1. Mkakati na kampeni ya CHADEMA kuzuia uchaguzi mkuu kupitia NO REFORMS NO ELECTION
2. Kushinda uchaguzi kama utafanyika kwa uwazi, kwa uhuru na kwa haki
3. Kizungumkuti cha mgombea.. Huyu wa sasa kwa jinsi alivyochafuka ndani na nje ya nchi je atafaa? Au watafute mbadala? Nani?
Katikati ya agenda hizi na mtanziko wa namna ya kwenda nazo.. Siku chache kabisa kabla ya huu mkutano ukatiwa doa kubwa na makemeo ya mmoja wa makada wake kuhusu utekaji nchini na tenguatengua ya wakuu wa vyombo vya ulinzi
Kada huyu maarufu si mwingine bali ni mchungaji Gwajima na mbunge ambaye alipata upinzani mkubwa toka kwa makada wengine wakubwa na wadogo isipokuwa mmoja tuu ambaye aliungana naye.
Aliyeungana naye si mwingine bali ni Luhaga Mpina mbunge pia na aliyewahi kushika nyazifa mbalimbali ndani ya chama na serikalini
Hawa wawili wanachukuliwa kama makada watukutu na wakorofi ndani ya chama wasioogopa kusema chochote kwenye kukosoa utendani ndani ya chama na serikali kwa ujumla
Kolabo yao kwenye hili ni mtanziko mpya ndani ya mkutano mkuu, ambapo sasa inabidi iwepo agenda ya dharura kuwahusu.. Mbaya zaidi wana nguvu kanda yq ziwa na wanahesabiwa kama sehemu ya SKMG
Daaaaaah njaa inasababisha aibu!
Kwa bahati mbaya sana CCM huwa wanafanya mambo kwa kuangalia zaidi maslahi binafsi na ya chama."Kizungumkuti cha mgombea.. Huyu wa sasa kwa jinsi alivyochafuka ndani na nje ya nchi je atafaa? Au watafute mbadala"? Nani
Kwa maslahi ya nchi atafutwe mbadala tu
Anajua kujieleza,Mie naamini usalama wa taifa nako kuna shida. Kama mtu anaweza kupanga mpango na JOHN MREMA NA KIGAILA ambao hata kujieleza hawawezi? Basi kazi ipo
Mazungumzo ya JOHN MREMA na clouds ni aibu kwakweli
Mfano ccm wako tayari kumnunua hata boni yai wa chadema na siyo tu kumnunua bali na kumpa nafasi mahaliMkutano mkuu wa ccm unaendelea mjini Dodoma yaliko makao makuu ya Taifa la Tanganyika
Ni mkutano wenye agenda nyingi.. Nyingine ni tete na pengine zinaweza kuzimwa ama kujadiliwa kwa tahadhari kubwa sana... Kwasababu huu ni mwaka wa uchaguzi na ccm iko kwenye shaka kubwa kutokana na mambo matatu makubwa
1. Mkakati na kampeni ya CHADEMA kuzuia uchaguzi mkuu kupitia NO REFORMS NO ELECTION
2. Kushinda uchaguzi kama utafanyika kwa uwazi, kwa uhuru na kwa haki
3. Kizungumkuti cha mgombea.. Huyu wa sasa kwa jinsi alivyochafuka ndani na nje ya nchi je atafaa? Au watafute mbadala? Nani?
Katikati ya agenda hizi na mtanziko wa namna ya kwenda nazo.. Siku chache kabisa kabla ya huu mkutano ukatiwa doa kubwa na makemeo ya mmoja wa makada wake kuhusu utekaji nchini na tenguatengua ya wakuu wa vyombo vya ulinzi
Kada huyu maarufu si mwingine bali ni mchungaji Gwajima na mbunge ambaye alipata upinzani mkubwa toka kwa makada wengine wakubwa na wadogo isipokuwa mmoja tuu ambaye aliungana naye.
Aliyeungana naye si mwingine bali ni Luhaga Mpina mbunge pia na aliyewahi kushika nyazifa mbalimbali ndani ya chama na serikalini
Hawa wawili wanachukuliwa kama makada watukutu na wakorofi ndani ya chama wasioogopa kusema chochote kwenye kukosoa utendani ndani ya chama na serikali kwa ujumla
Kolabo yao kwenye hili ni mtanziko mpya ndani ya mkutano mkuu, ambapo sasa inabidi iwepo agenda ya dharura kuwahusu.. Mbaya zaidi wana nguvu kanda yq ziwa na wanahesabiwa kama sehemu ya SKMG
Mfano ccm wako tayari kumnunua hata boni yai wa chadema na siyo tu kumnunua bali na kumpa nafasi mahali
Je unafikiri watakuwa tayari kumtimua mtu kama mpina ambaye hata akihamia chauma ana uhakika wa kurudi bungeni ? Mtu kama gwajima ukimtimua chama ndiyo umepa kasi sasa umaarufu utaongezeka zaidi ya
Kwa hiyo ccm sidhani kama wana mpango wa kuwaondoa hawa labda kama wana mbinu mbadala