Hii kolablo ya Mpina na Gwajima ni kitisho kwa CCM maslahi

Your browser is not able to display this video.
 
Ujasiri wa kulifungia Kanisa wameutoa wapi?
 
Huyo Mpina amefungua kesi tatu za kuishitaki serikali kule bungeni na ameshindwa zote!. Alijaribu kupinga uwekezaji wa DP World pale bandarini leo hii manufaa yanaonekana mbele ya macho yake.

Taifa limeshapitia misukosuko mingi na hili suala la Gwajima litapita tu, ni upepo mbaya unaokatiza.
 
CCM Ina Dola itatishika na nyau gani? Wakaungane Sasa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo mbadala mngemuandaa kwa ajili ya uchaguzi wa 2030 huu wa mwaka huu Samia anatosha sana, keshafanya mengi ya maana kuliko hizi harakati zenu za kipuuzi za kuitumia dini kuleta chokochoko.
 
Hebu tuupe muda wakati ni hakimu wa kweli
 
Huyo mbadala mngemuandaa kwa ajili ya uchaguzi wa 2030 huu wa mwaka huu Samia anatosha sana, keshafanya mengi ya maana kuliko hizi harakati zenu za kipuuzi za kuitumia dini kuleta chokochoko.
Vipi kuhusu utekaji na kesi za kisiasa za kubambika
 
Mkuu naomba urekebishe neno la kwanza kwenye namba mbili.
 
"Kizungumkuti cha mgombea.. Huyu wa sasa kwa jinsi alivyochafuka ndani na nje ya nchi je atafaa? Au watafute mbadala"? Nani
Kwa maslahi ya nchi atafutwe mbadala tu
Mbada ni chama pinzani wapewe japo kidogo
 
Huyo mbadala mngemuandaa kwa ajili ya uchaguzi wa 2030 huu wa mwaka huu Samia anatosha sana, keshafanya mengi ya maana kuliko hizi harakati zenu za kipuuzi za kuitumia dini kuleta chokochoko.
Nani" katumia dini kuleta chokochok" Hivi hapo ulipo wewe unadhani unazo sifa za kuwa hapo bila ya hiyo dini inayokupa msukumo wa kulisigina taifa letu?

Samia hana njia tena ya kuendelea kushika nafasi hiyo. Lililobaki sasa ni ama atoke kwa usalama, au kwa shari.
 
Kwa hii mikwara unayoitoa huku jina lako halisi umelificha, ni ndoto kwa CCM kutoka madarakani haswa kwa kelele za kitoto zinazopigwa kupitia maandishi ya humu JF.
 
Kwa hii mikwara unayoitoa huku jina lako halisi umelificha, ni ndoto kwa CCM kutoka madarakani haswa kwa kelele za kitoto zinazopigwa kupitia maandishi ya humu JF.
Unataka jina ili uniteke na kuniua? Mbona wewe unajificha chini ya jina bandia la dini usiyo husika nayo kabisa. Unaweza kueleza kwa nini unafanya hivyo, kama siyo nia ovu?

Sina shaka yoyote moyoni mwangu tena kukuhusu wewe; ni miongoni wa kundi hili hatari linalotekka watu.

Nimekueleza, CCM kama chama kisingekuwa na lawama kubwa kama kisingeshikiliwa na watu waovu kama nyinyi, na kukitumia kwa kufanyia uovu wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…