Hii kolablo ya Mpina na Gwajima ni kitisho kwa CCM maslahi

1) Chadema hawatoshiriki huu Uchaguzi.
2) Chauma hakijawa bado uwezo wa kuikabili CCM

Mgombea wa CCM awe amechafuka au hajachafuka, awe anafaa au hafai HAKUNA chama Chochote kinachoweza kuipoka madaraka CCM kwenye huu Uchaguzi.

Kwa vyovyote vile iwavyo CCM itafanya au inafanya kila juhudi kuendelea kutawala milele na milele. CCM ni chama chenye ubinafsi wa kudhani kwamba kina hatimiliki ya kuitawala hii nchi mpaka kiama.
 
This time mambo ni tofauti kwa ground
 
Your browser is not able to display this video.
 
MKUU HESHIMA KWAKO. EBU NITAJIE WAGOMBEA NAFASI HIZI KUPITIA CHADEMA
1.RAIS JMT
2.RAIS ZANZIBAR
3.MAKAMU RAIS JMT
4.MAKAMU RAIS ZANZIBAR
 
naamini leo ilikuwa wafunge mtandao, ila kwa sababu walikuwa wamemwekea mtego ajikanyake afanye kosa wamshitaki baada ya kuona hakukutwa na kosa pale awali, wakaacha awe huru kuongea. bahati nzuri jamaa ana akili, kaongea kwa umakini mno, kwa alichoongea hakuna hata kosa la jinai moja amefanya, na watanzania wote wamesikia hata ukimkamata tena watu watashangaa ni kwa kosa lipi. naogopa polepole kesho wanaweza kufunga mtandao, though najua na yeye ana akili anaweza kuwa amesharekodi, atakuja kuitupia tu mtandaoni recorded. vit ani vita muraaa.
 
Your browser is not able to display this video.
 
We bwege hujawahi kuwa na akili. We kaandike zile hadithi zako za uwongo, siasa umeivamia tu huijui na huiwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…