Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,058
Sio lazima, sisi Waafrika ndio huwa tuna hulka za kizamani za kutaja cheo cha Kiongozi kila sentesi.Mama kakosea kmuita jina waziri mkuu bila kumpa cheo chake lakini hii inaonyesha huko ndani kuna mengi Sana yanaendelea na kufikia hatua ya kusema hivo basi bila shaka kuna watu watamwagwa muda sio mrefu
Ubora wake ni upia tofauti na wengine?Natamani sana siku moja nchi iwe chini ya Kassimu, ni mtu sahihi sana.
Kama ndio hulka yetu,na mama hajafanya hiyo,basi ujue Kuna tatizoSio lazima, sisi Waafrika ndio huwa tuna hulka za kizamani za kutaja cheo cha Kiongozi kila sentesi.
Ukishakuwa na vyeo vya juu kama vile spika, makamu wa rais au waziri mkuu ni rahisi kushawishika kuutaka urais.Mama alikuwa anautamani uraisi miaka mingi alichelewa kuupata.
Hahahaha Victorie taratibu. Hivi wewe ukiukwaa urais hautaung'ang'ania kweli? Tena wewe hutatoka kabisaa hadi ufie ikulu kama Omar BongoNi kama Mama anamuamini sana Kigogo2014. Halafu Mama anaupenda sana urais alioupata kwa bahati. Sasa 2025 nae hataki kuachia wengine.
Sijui nini madaraka au pesa..Ukishakuwa na vyeo vya juu kama vile spika, makamu wa rais au waziri mkuu ni rahisi kushawishika kuutaka urais.
Ni hulka iliyopitwa na wakati kama ile hulka ya kutaja msururu wa viongozi na vyeo vyao katika mikutano ya serikali. Ni vitu visivyo na mantiki.Kama ndio hulka yetu,na mama hajafanya hiyo,basi ujue Kuna tatizo
Ukiona hivyo huna haja ya kufanya "Guess work" bali ni "obvious" kuwa Katika Baraza lijalo linalotegemewa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa, nafasi ya PM, huyo Kassimuu atatupwa nje😁
Kaka madaraka ni shetani. Ukiumwa unatibiwa. Kwenda airport ukiwa na safari ya nje unakwenda kwa landcruisier ya serikali. Mema yapo mengi yanayoambatana na serikali.Sijui nini madaraka au pesa..
Mtu unamiaka sitini unakula unachotaka bado unatamani vyeo ambavyo vinakupa stress??
Ndivo ,ilivyo mkuu hayo ni mambo madoggo TU potezea ,tunajadili midude Mikubwa ya kuikomboa nchiNi hulka iliyopitwa na wakati kama ile hulka ya kutaja msururu wa viongozi na vyeo vyao katika mikutano ya serikali. Ni vitu visivyo na mantiki.