Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Clip?Huu uzi haujakamilika bila audio ya wimbo wa "Tamaa Mbaya -Les Wanyika"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Clip?Huu uzi haujakamilika bila audio ya wimbo wa "Tamaa Mbaya -Les Wanyika"
Robo tatu ya watu wenye tamaa huwa wanatusua nmeshuhudia wengi wakitoboa Kwa kuwaumiza wengine wachache ndo huwa wanafeli japo Mimi binafsi naamini katika subra kama nikikosa basi lakini lazima nipate
ilikuaje ukavizia utajiri kupitia siasa Hadi kutapeliwa 500k na mganga asiyejua kusoma Wala kuandika ?Ni vizur zaidi kwa mwanaume kua na tamaa ya mafanikio kupitia kilimo na ufugaji my friends 🐒
Sio Uchawa tena?🤣🤣Ni vizur zaidi kwa mwanaume kua na tamaa ya mafanikio kupitia kilimo na ufugaji my friends 🐒
ilikuaje ukavizia utajiri kupitia siasa Hadi kutapeliwa 500k na mganga asiyejua kusoma Wala kuandika ?
ni kibaka wa siasa pekee ndie anaweza kuwatapeli wenye imani potofu wenzake kwamba eti wanaweza kushinda uchaguzi kwa ushirikina wa no reform no elections,ilikuaje ukavizia utajiri kupitia siasa Hadi kutapeliwa 500k na mganga asiyejua kusoma Wala kuandika ?
imani potofu za kishirikina zitakuchelewesha sana kufanikiwa gentleman,Sio Uchawa tena?🤣🤣
Hustle hustle the end justifies the meansTabia ya tamaa imewaangusha wanaume wengi sana till date: Tamaa ya fedha, tamaa ya kutaka maisha ya juu kupita uwezo, tamaa ya wanawake, tamaa ya kutaka kuyafikia mambo makubwa kupita uwezo.
Mpaka umri huu nilionao nimeshuhudia marafiki zangu 58 wakipata madhira mbalimbali kwasababu ya tabia ya tamaa; Kati ya hao kuna waliopo jela, mahabusu za muda mrefu, kuna waliotekwa na waliouwawa kwa visasi, waliokufa kwa magonjwa makubwa, wengine wanateseka hospitalini kwa mgonjwa yasiyoeleweka
We mwanaume na kijana unayepambana kufikia ndoto zako Nachotaka kukwambia ni kwamba fanya yote kwa kiasi kwa maana TAMAA IKIZIDI KIASI LAZIMA UTENDE DHAMBI, DHAMBI IKIZIDI KIASI LAZIMA UINGIE KIFONI.
Asanteni
Naona mbolea mnauzia Zambia huku za kwenda kwa Mama zetu mnazijaza mchanga.kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi binafsi wa mtu,
kulalamika kwamba eti hakuna ajira wakati ajira za uhakika na za kutosha zipo shambani, nao pia ni ushirikina vile vile 🐒
Acha tamaaSuluhisho ni lipi?
Yes,Naona mbolea mnauzia Zambia huku za kwenda kwa Mama zetu mnazijaza mchanga.
Ajabu siwaoni mkiachia viti mkakimbilia mashambani ili tuone kwa Vitendo kuwa mnatenda mnayosema au huwa mnalimia Bungeni mule mule ?
Kwahiyo ukienda tu mashambani tayari unaanza kupata ekari 100 na zinajilima sio ?Yes,
kuna maeneo nchini ni muhimu kutumia mbolea but pia kuna maeneo kabisa hawatumii mbolea na wanavuna kweli kweli kweli,
Last year nililima ekari mia4,
This year nimeongeza ekari mia2 mkoa mwingine..
unadhani ni ajira ngapi naweza kuwapatia vijana nchini katika hizo ekari mia6?
wewe umeng'ang'ana tu mjini 🐒
kunijibu tu, nimekutamani tayari! 🙂Acha tamaa
Na kwa taarifa yako,Kwahiyo ukienda tu mashambani tayari unaanza kupata ekari 100 na zinajilima sio ?
Hongera kwa kulima Kama Ni kweli.
Mana najua fujo zote zilizopo kila Mahali ni kwakuwa watu wanashiba.
Suala la kuajiri Hilo Mimi sielewi Kama umebakia na mfumo wa Mkoloni au wa kisasa na sijui Kama una Mkono wa birika ( Kipare ) na unyonyaji.
Una hela?kunijibu tu, nimekutamani tayari! 🙂
Kila mtu ashinde mechi zake.Tabia ya tamaa imewaangusha wanaume wengi sana till date: Tamaa ya fedha, tamaa ya kutaka maisha ya juu kupita uwezo, tamaa ya wanawake, tamaa ya kutaka kuyafikia mambo makubwa kupita uwezo.
Mpaka umri huu nilionao nimeshuhudia marafiki zangu 58 wakipata madhira mbalimbali kwasababu ya tabia ya tamaa zilizozidi kiasi; Kati ya hao kuna waliopo jela mpaka sasa, kuna waliopo mahabusu za muda mrefu, kuna waliotekwa na waliouwawa kwa visasi, waliokufa kwa magonjwa makubwa, wengine wanateseka hospitalini kwa mgonjwa yasiyoeleweka, wachache waliobaki hai kwasababu ya tamaa zao kuzidi kiasi kwasasa wanaishi maisha magumu sana kwasababu ya mitego ya madeni, kushiriki shirki kwa waganga na mmoja huyu yeye aliamua kuacha jinsia yake sasa ni shoga aliyeolewa huko Ujerumani.
We mwanaume na kijana unayepambana kufikia ndoto zako Nachotaka kukwambia ni kwamba fanya yote kwa kiasi kwa maana TAMAA IKIZIDI KIASI LAZIMA UTENDE DHAMBI, DHAMBI IKIZIDI KIASI LAZIMA UINGIE KIFONI.
Asanteni
kumbe unauza 😳Una hela?