Hii kwa wanaume wote

Hii kwa wanaume wote

Umeanza siasa Sasa Kamanda.
Sudden change ya politeness imetokea wapi ?
Mbona Kama unarise likability hapa Kamanda ?
Like of influence inakujaga na vifungu vya sentensi za kushawishi.

Kada umenikosa Sasa😂
mimi sina makosa gentleman,
labda makosa ni kusema ukweli right?

ajira za uhakika na za kutosha zipo shambani gentleman 🐒
 
Yes,
kuna maeneo nchini ni muhimu kutumia mbolea but pia kuna maeneo kabisa hawatumii mbolea na wanavuna kweli kweli kweli,

Last year nililima ekari mia4,
This year nimeongeza ekari mia2 mkoa mwingine..

unadhani ni ajira ngapi naweza kuwapatia vijana nchini katika hizo ekari mia6?

wewe umeng'ang'ana tu mjini 🐒
Muongo wewe, unalimia kitandan?
 
Apa muda huu wa Jumamosi mepita njia ya Dodoma kwenda Kondoa/Arusha nkafika sehemu panaitwa Msalato - Mnadani naona wanaume kibao wamesha tamani pisi Kali huko mjini wamekuja nazo mnadani ...wote pamoja wanatamani nyama choma
Karibu Makutupora mamaa
 
Nadhani watu u,commit fraud hakuna kingine zaidi yakuwa na financial pressure, greed, opportunity, and rationalization.

Wewe unahisi kwanini watu u commit fraud???
Nadhani ni hii uloisema greed,, na financial security...

Lakn mkuu unadhan haiwezekani kuish kwa kuridhika na vitu vichache....
 
Marafiki 58.!! Hivi nyie mnaweza vipi kuwa na marafiki wengi kiasi hicho?
 
Acha urongo, huyo Heche yuko vizuri. Ana mashamba makubwa ya parachichi pamoja na shamba kubwa la ufugaji wa ng'ombe. Huyo jamaa namfahamu vizuri sana.
My friend,
wacha ni kusanue,
hakuna kitu kizuri kama kujitegemea kiuchumi halafu ndio ukaingia kwenye siasa,

Tazama akina heche wanavyoteseka sasa hivi, pension yake yote ya ubunge imeishia kwenye kubeti, hana shamba wala nyumba ya maana na anaishi kwao saivi,

angalia akina lema wanavyo tanga tanga, angali lisu anavyo ombaomba kuchangiwa pesa utadhani ni yatima Lakini ni mtu nzima timamu na mwenye nguvu kabisa, aisee!

Tengeneza uhakika wa uchumi wako kwanza halafu ñjoo kwenye siasa, vinginevyo utauza hadi kijiko na ubunge utauona kwenye TV tu [emoji205]
 
Bila kutamani huwez kutoboa na kufika mbali. Mafanikio huanza na tamaa kwanza lakn tusitaman nje na uwezo wetu hakuna asie taman mkuu
 
Sure najua ila maisha yamejaa ajali na bahati mbaya unaweza usiwe na tamaa ila wenye tamaa wakakusababishia bahati mbaya
Haja sema waliopo hospital wote. Huenda hao marafiki zake wasinge kuwa na haya aliye ya eleza wasinge kuwa huko.
 
Acha urongo, huyo Heche yuko vizuri. Ana mashamba makubwa ya parachichi pamoja na shamba kubwa la ufugaji wa ng'ombe. Huyo jamaa namfahamu vizuri sana.
Yes,
uko sahihi sana gentleman,
huyo muungwana yupo vizuri mno kubeti, hilo halina ubishi, alinifurahisha sana kuacha bangi.

alitumia vibaya sana pension yake ya ubunge, na hata sura inaonyesha tua alivyo na stress :pedroP:
 
Inawezekana kabisa kuishi kwa kuridhika na vitu vichache, lakini inategemea mtazamo wa mtu binafsi na mazingira anayokulia.
Kweli mkuu, sema dunia ya leo inatudanganya... if you're not pursuing stuff inaonekana kama you're not measuring up.....

Wengne wanatafuta vitu au wanakuwa na tamaa ya vitu just for the sake of making a name for themselves... TOO SAD..
 
Umezungukaa sana, ila nia yako ni kuongelea USHOGA.
usipangie watu maisha, lol
 
Back
Top Bottom